Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

haaaaaaaahaaaaaaaahaaaaaaaaaaa unkwepable msamiati mpya huo nimepata.
Subiri umri ufiki mkuu, utaoa tu, hi kitu inaitwa ndoa is unkwepable, kuna hali fulani ya upweke ikikushika mkuu utanyoosha mokono mwenyewe na kwenda hata kwa Heaven on earth na uka propose!
 
Eiyer imebidi nitoke wodini nilipolazwa baada ya wewe kuniita.

Hata hivyo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kuandika sana...

Inauma kudanganywa and inauma zaidi kudanganya...from experience.

I reached a point in life nikaona what the heck why playin the good guy? I joined em in their league. But i guess kama ulivyosema nahisi na mm sikuzaliwa na uwezo wa kucheat halafu nilione sawa. Niliumia zaidi. I felt empty inside.

Well I am hopeful and positive that I will someday find that beautiful lady that I will call my wife..to love and to treasure. Through good n bad times..kwa uaminifu wote hata kifo kitakapotutenganisha.

I believe.
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Hii ngumu sana kumesa
Nilijaribu lakini nilishindwa

Nyakati hizo nilipokuwa kwenye mahusiano mwanamke huyo alikuwa pasua kichwa[ CC Tina cute]
Nilijitahidi sana kujaribu kumshauri lakini haikuwezekana
Nikajaribu kum-cheat ili nijaribu kupunguza maumivu lakini nilishindwa
Niliachana nae

Nikaamua kukaa peke yangu tu

Lakini kila siku naona kama nahitajika kuoa
Lakini tatizo ni huyo wa kuoa
Kazi ipo!

una umri gani huenda ukawa...
 
Last edited by a moderator:
Eiyer imebidi nitoke wodini nilipolazwa baada ya wewe kuniita.

Hata hivyo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitaweza kuandika sana...

Inauma kydanganywa and inauma zaidi kudanganya...from experience.

I reached a point in life nikaona what the heck why playin

Asante kwa kuitikia wito

Huwa nashindwa sana kudanganya
Hiki kitu kimenifanya niwe naumia sana

Natumai Mungu atanishindia!
 
Ukisoma hii thread vizuri utagundua kwamba aliyeandika hii thread ni good cheater na anachojaribu kufanya hapa ni marketing strategy na kutafuta huruma ya mabinti single hapa MMU awacheat pia!

Eiyer tell us how many girlfriends have you possessed along your way till today? Kitendo cha kumwacha gf moja na kuchukua mwingine nayo ni cheating!

cc: Eiyer
 
Back
Top Bottom