Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

Nilikuwa nimekwenda shambani kupalilia kwanza
Si unajua masika ndio haya?

Kisha nikamuweka mchina wangu kwenye chaji sasa ameshiba ndio maana unaniona hapa!

Safi sana kijana piga kazi japo haujui hata misimu ya mvua.....now sio masika ni vuli my frnd.
 
Safi sana kijana piga kazi japo haujui hata misimu ya mvua.....now sio masika ni vuli my frnd.

Unachanganya mambo
Huku nilipo ni masika
Labda ulipo ndio vuli!
 
Si tupo wote ibadani?
Tatizo nini tena?
Au huniamini?

najiuliza maswali' bila majibu usaliti ndani ya ndoa unaendelea kupiga kasi, kweli inavunja sana moyo ndoa hakika zimekosa heshima na malazi sio safi tena..ukimwi umepamba moto inauma sana tena sana.
 
brenda18,
Unajisikiaje ukijua jamaa yako anacheat?
Vipi mukisikia jamaa yako hacheat?

nikisikia anacheat ni aibu kubwa,kwasababu ni sawa na ankuchora vile,kama cartoon wake iv,hii inaumiza especially kama mim sijawahi kufikilia kumcheat,io ya kuto kucheat kwakwel sijui ntafil vip coz sina experience,my past has been cheated alot,yan aya mambo hayako fair kabisa
 
mimi
nimeoa mke na ndoa
yangu inamiaka kumi natatu sicheat mke wangu na mke wangu sijahi
kumkamata akinicheat kwa kifupi tunaaminiana .nikimkamata mke wangu
ananicheat upendo utakufa na nitamchukia sana, mimi mwenyewe nikija
kucheat nitajichukia sana kwa tendo hilo na nitamchukia yule niliye
cheat naye.watu waaina hii wapo wachache sana na wana misimamo imara
sana .

Bora yako wewe unae amini hivyo,Mungu akuzidishi Imani na umuamini zaidi
Mkeo kwa Manufaa ya Familia yako, Sisi ambao kamwe hatuwezi kumuamini
Mwanamke hata kutamka kwa kumtania eti nakuamini tuache tuipate pate
 
nikisikia anacheat ni aibu kubwa,kwasababu ni sawa na ankuchora vile,kama cartoon wake iv,hii inaumiza especially kama mim sijawahi kufikilia kumcheat,io ya kuto kucheat kwakwel sijui ntafil vip coz sina experience,my past has been cheated alot,yan aya mambo hayako fair kabisa

So
Haupo mapenzini sasa au upo kiaina tu?
 
kuna ukweli mchungu about human being..... cheating is inevitable especially kwa man because man are naturally born polygamous!!!!

HELL NOOOOOOOOO.... i beg to differ if its a matter of polygamy basi zinajulikana na zinaalalishwa mfano wenzetu waislam wanaruhusiwa KUOA jaman sio CHEATING hadi wake wanne.sasa nyie mnaoona cheating is legal nawashangaaga sana.infact shame on u
 
ulivouliza kama unaweza ongea na Mungu nidhani hujui kusali na unastahili mafundisho
sasa kumbe wewe tena ni paroko,
Sina ruhusa kutoa mafundisho gani tena wajameni?
Angalieni msinifukuzie kondoo wangu bure!
 
...Mkuu ubora wa gari injini sio bodi
Hahahahahaaaa!

...Hilo la hela ni tatizo kwangu
pole!
Ila hilo la kwa bedi naliweza sana
hongera!
Uhandsome nao ni tatizo kubwa
Ukiniona utadhani nalia kila mara....lol!
Hahahahahaaa!
Umeona sasa tatizo hilo kama ni alama 100 wewe umepata 33.333! Hihihihiiii!
Njia ipi hiyo?

Mkuu hapa ni kuangalia love compatibility match!
Hapa nikisema nakufaham itakua nakosea! Mkuu nakujua hupendi kuamini hiyo kitu! Wewe endelea na shughuli zako huku ukiperuzi taratibu unaweza ukagundua ni watu gani mnamatch ktk love!
...
If hauamini kabisa hiyo makitu nakupa issue ndogo sana, just nipm tarehe na mwezi uliozaliwa!
Mimi nitagoogle na kukutumia:
1 Ubora wako!
2 Udhaifu wako!
3 Na baadhi ya tabia!

ili tu uhakikikishe ukweli uliopo!
Hizo love compatibility match utagogo mwenyewe!
What do you think!
 
HELL NOOOOOOOOO.... i beg to differ if its a matter of polygamy basi zinajulikana na zinaalalishwa mfano wenzetu waislam wanaruhusiwa KUOA jaman sio CHEATING hadi wake wanne.sasa nyie mnaoona cheating is legal nawashangaaga sana.infact shame on u

Duh!
Mkuu taratibu!!!!!!
 
Mkuu hapa ni kuangalia love compatibility match!
Hapa nikisema nakufaham itakua nakosea! Mkuu nakujua hupendi kuamini hiyo kitu! Wewe endelea na shughuli zako huku ukiperuzi taratibu unaweza ukagundua ni watu gani mnamatch ktk love!
...
If hauamini kabisa hiyo makitu nakupa issue ndogo sana, just nipm tarehe na mwezi uliozaliwa!
Mimi nitagoogle na kukutumia:
1 Ubora wako!
2 Udhaifu wako!
3 Na baadhi ya tabia!

ili tu uhakikikishe ukweli uliopo!
Hizo love compatibility match utagogo mwenyewe!
What do you think!

Big problem start here
Sijui nimezaliwa tarehe ngapi
Hata mwezi nao ni tatizo

Tufanyeje?
Hebu jaribu kunielekeza namna ya kugoogle ili siku nikiijua nifanye mwenyewe!
 
ulivouliza kama unaweza ongea na Mungu nidhani hujui kusali na unastahili mafundisho
sasa kumbe wewe tena ni paroko,

Kila mtu anajua kusali
Tatizo ni aina ya kusali!
 
Back
Top Bottom