Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

ukiamua kutokucheat,hautacheat
na ukiamua ku cheat,hauta cheat kidogo utacheat sana tu
na ukimwi siku hizi watu hawauogopi sijui
 
ukiamua kutokucheat,hautacheat
na ukiamua ku cheat,hauta cheat kidogo utacheat sana tu
na ukimwi siku hizi watu hawauogopi sijui

Sasa nitaweza vipi kuishi dunia hii ambayo watu wanaona kucheat ni kawaida tu?
Mimi sipendi kucheat lakini pia sipo tayari mpenzi wangu anicheat!
 
Eti bana
Achana na hao wambeya rosita !!!!!!!..........lol!

Ucjal wangu tuko pamoja...huyo mkuu anataka tutembee kabla hatujatambaa...tutaanguka dear. Twende step by step.
 
Last edited by a moderator:
Ucjal wangu tuko pamoja...huyo mkuu anataka tutembee kabla hatujatambaa...tutaanguka dear. Twende step by step.

Si ndio na mimi namshangaa
Tutatembeaje wakati hata kusimama bado

Kweli kabisa "dear" tupo pamoja
Step by step ndio mpango!!!!!!!
 
ukisha cheat,hauna upendo tena kwa umpendae..yamebaki mazoea tu
unaweza cheat kwa sababu mkeo mwembamba au demu wako lakini unatamani kujaribu mnene yukoje lakini umpendi. u just want to try different thing okey...... unayempenda haupo tayari kabisa kumpoteza kwa namna yeyeto ile.. i try to ask hili swali kwa nini fulani unamcheat boy wako au girl wako mwingine nampenda lakini ni mvivu maeneo fulani so acha nitafute huku mwingine amsaidie..... mwingine huyu demu kajilngesha acha niwe nachapa tu kwa mda.... na sababu nyingi za kijinga jinga ,,lakini hawapo tayari kupoteza vipenzi vyao...
 
ni ''watu'' sio ''watu wote''

kama wewe hapo haupendi kucheat na hautaki kucheat si ndio,vivyo hivo kuna girls out there hawapendi na hawataki kucheat..cha msingi ni kuomba Mungu tu mkutane wote manafanana kwenye msimamo hu..maisha yatakua mazuri
Sasa nitaweza vipi kuishi dunia hii ambayo watu wanaona kucheat ni kawaida tu?
Mimi sipendi kucheat lakini pia sipo tayari mpenzi wangu anicheat!
 
Kwa mch.gwajima au tuende mitaa yangu ya pasua kichwa

Khaaa huko kwa Hwajima nasikiaga kuna misukule
Sasa mambo gani ya kuleteana misukule?

Huko kwenye mitaa yako sina chapaa mie
Huko hadi uwe na laki 5 ambayo haina kazi
Nani anaweza hiyo makitu?
 
ni ''watu'' sio ''watu wote''

kama wewe hapo haupendi kucheat na hautaki kucheat si ndio,vivyo hivo kuna girls out there hawapendi na hawataki kucheat..cha msingi ni kuomba Mungu tu mkutane wote manafanana kwenye msimamo hu..maisha yatakua mazuri

Nina zaidi ya miaka 30 na sijakutana nao
Wewe uliwaona wapi?

Niambie ili unirahisishie kazi!
 
mnaweza pata wote waaminifu but crush happens sometimes.... me najua mtu akikucheat haina maana hakupendi ni ameamua kubadilisha ladha au kashetani kamepita,....okey!! kuna watu wanacheat lakini wake wapenzi wao bado wanawapenda na kuwajali sana tena sana ... na kama ni mwanamke embu jaribu kumwambia aachane na fulani utasikia mziki wake...

nachotaka kusema kucheat na kupenda ni vitu viwili tofauti kabisa.....!!


kwa mantiki hiyo miss chagga, ndo kusema Eiyer wants to eat his cake and have it too
Eiyer sometimes unakuwa na wishful thinking, kwamba wote muwe perfect lakini ndo ivo kama alivosema Munkari unakuwa hucheat ila mwenzio anacheat

Pili, nakubaliana na hoja (sadly) kwamba kucheat na kupenda ni tofauti sana....

Tatu, ndoa sio ya kila mtu......so ukijisikia kuwa mseja poa tu, andhani unaipa thamani kubwa sana ndio maana mwenyewe unasita sita pia kwa vile hutaki kuifanyia mchezo

nne, the world is not fair at all...so better live ur life, shit happens na punguza expectations (u have set the bar too high)
Husninyo upo wapi hebu njoo
 
Last edited by a moderator:
Khaaa huko kwa Hwajima nasikiaga kuna misukule
Sasa mambo gani ya kuleteana misukule?

Huko kwenye mitaa yako sina chapaa mie
Huko hadi uwe na laki 5 ambayo haina kazi
Nani anaweza hiyo makitu?


Hahhh hhaaa sa hv kuna bidhaa cheap zimeingia bhana, ila mmmmmmmmmmmmmhhhhhh uwiiiiiiii tuende sawa na rosita tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom