Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

kwa mantiki hiyo miss chagga, ndo kusema Eiyer wants to eat his cake and have it too
Eiyer sometimes unakuwa na wishful thinking, kwamba wote muwe perfect lakini ndo ivo kama alivosema Munkari unakuwa hucheat ila mwenzio anacheat
Mimi nataka wote tusicheat
Pili, nakubaliana na hoja (sadly) kwamba kucheat na kupenda ni tofauti sana....
Kweli kabisa
Tatu, ndoa sio ya kila mtu......so ukijisikia kuwa mseja poa tu, andhani unaipa thamani kubwa sana ndio maana mwenyewe unasita sita pia kwa vile hutaki kuifanyia mchezo
Nalifikiria hili japokuwa ni gumu
nne, the world is not fair at all...so better live ur life, shit happens na punguza expectations (u have set the bar too high)
Nitajaribu
upo wapi hebu njoo
Huyu tupo nae leo kwenye maombi...lol!
 
Duh ngoja nifanye kuna ka kazi hapa nitakuja hyo mida vp shem atakwepo
Cc rosita
Mapema sana kuwepo huyo
Halafu bado hatujafika huko kwenye kuitana wapenzi bana

Sasa hivi ni marafiki tu!
 
Last edited by a moderator:
Good
Nakubaliana na wewe kuwa makini
Sitaki uniamini blindly tu
Hutakuwa umejitendea haki!

Umeona eheee.....niko makini fnd ucjali..dat y frnd inahusika....naona walas anaendelea na slogan yake ameshaanza kuniita shem wakati cc bado marafiki.
 
Umeona eheee.....niko makini fnd ucjali..dat y frnd inahusika....naona walas anaendelea na slogan yake ameshaanza kuniita shem wakati cc bado marafiki.

Usijali
Sisi bado marafiki bana
Tunasubiri wakati muafaka ufike kwanza!
 
Munkari, Muombee mwenzio asitumbukie pabaya , maana huu uzi hautamtoka kichwani mwake yakitokea
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom