Tutapata sana shida.!

Tutapata sana shida.!

Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana

Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili mwenza wao kuwasaliti

Hili ni suala gumu sana

Binafsi nilishawahi kujaribu kulifikiria hili nikajikuta nashindwa kabisa,siwezi kutofautisha kumdharau mpenzi wangu na kum-cheat
Yaani siwezi kum-cheat halafu niendelee kujidai eti nampenda
Ni ngumu
Nahisi kujidhalilisha na zaidi sana namdhalilisha mwenza wangu
Nahisi maisha yatakuwa magumu sana kwenye dunia hii ya "cheating is inevitable"

Nawaona wake za watu mitaani wanavypishana kwenye nyumba za wenyeji[sio wageni]
Najaribu kuvivaa viatu vya waume zao nahisi uchungu sana

Na hata wale wenzangu wenye mtazamo huu nawaambieni tutaipata tu kwenye maisha haya

Au tuamue kuachana kabisa na hii kitu?
Tutaoa kweli?

Mimi nimeamua tu kubaki naangalia kwanza!

Maisha ya kuigiza ni magumu sana!

We apa kutogusa jiko la mtu ili atakayegusa lako na kukamatwa umfanye jambo ambalo litawaweka wengine mbali na jiko lako
 
We apa kutogusa jiko la mtu ili atakayegusa lako na kukamatwa umfanye jambo ambalo litawaweka wengine mbali na jiko lako

Ngoja niassume umeoa
Halafu mkeo anatongozwa na kwenda kuvua kyupi

Kwanini wewe unadhani kuwa aliyemvua ana kosa na sio alieenda kuvua huku akijua kuwa yeye ni mke wa mtu?
Hujui kuwa pengine hata huyo aliyemvua kyupi alikuwa hata hajui kama ni mkeo?
 
Mkuu Eiyer kucheat ni tabia mbaya na inatakiwa kukemewa

Unadhani inaweza kuondoka kwa kukemewa tu?

Kuna dini inawaadhibu watu wa aina hii kwa kuwapiga kwa mawe hadi kufa lakini hawaachi
Unadhani kukemewa tu inatosha?
 
hapana mkuu wala hata tusijaribu kwani hayo si maisha ndugu yangu,you dont get a thing,after all kama si tabia yako huwezi na siku ukilazimisha tu utaitesa dhamiri yako mpaka basi.
Au na sisi tuzoee tu?
 
hapana mkuu wala hata tusijaribu kwani hayo si maisha ndugu yangu,you dont get a thing,after all kama si tabia yako huwezi na siku ukilazimisha tu utaitesa dhamiri yako mpaka basi.

Ilishanishinda hiyo
Ki ukweli siwezi kabisa ku-cheat!
 
Ilishanishinda hiyo
Ki ukweli siwezi kabisa ku-cheat!
ndo hapo sasa mkuu utaitesa dhamiri yako sana mkuu,kwa hiyo ni bora kujiweka pembeni kabisa,kuwaacha ambao kwao kucheat ni kama maji.
 
Mkuu maonyo ndio njia pekee ya kumbadilisha mtu mzima wala sio kumpiga marungu
Unadhani inaweza kuondoka kwa kukemewa tu?

Kuna dini inawaadhibu watu wa aina hii kwa kuwapiga kwa mawe hadi kufa lakini hawaachi
Unadhani kukemewa tu inatosha?
 
ndo hapo sasa mkuu utaitesa dhamiri yako sana mkuu,kwa hiyo ni bora kujiweka pembeni kabisa,kuwaacha ambao kwao kucheat ni kama maji.

Kukaa pembeni kwa maana kuachana ma mahusiano au?
 
Mkuu maonyo ndio njia pekee ya kumbadilisha mtu mzima wala sio kumpiga marungu

Mkuu
Hii siamini kama ni kweli
Sidhani kama kuna mahali hiyo iliwahi kuwezekana!
 
Looh! Mimi kwa kuiba vya wenzangu mmm, Kucheat naona powa tu. Ila wakwangu never kuibiwa na nikihisi nimeibiwa aloo!! naumia halafu nakuwa na hasira mbaya.
 
usisahau kufanyia wenzako yale unayopenda kufanyiwa
Looh! Mimi kwa kuiba vya wenzangu mmm, Kucheat naona powa tu. Ila wakwangu never kuibiwa na nikihisi nimeibiwa aloo!! naumia halafu nakuwa na hasira mbaya.
 
hapna maana yangu ni kuwa kuakaa pembeni na hiyo cheating,wanaoona kucheat kuwa ni jambo la kawaida waendelee na sisi tunaojionea shida tukae pembeni tunawaangalia tuone mwisho wake ni nini.
Kukaa pembeni kwa maana kuachana ma mahusiano au?
 
hizo hasira unazokuwa nazo ndo hizo ambazo mwenzi wako anakuwa nazo pia sa sijui unamfikiriaje labda?au unahisi ye hana moyo penye moyo pana jiwe au chuma?jamani muwe mnawafikiria na wenzenu msiwe mkijifikiria wenyewe tu khaaaaaaaa mbona hivi?
Looh! Mimi kwa kuiba vya wenzangu mmm, Kucheat naona powa tu. Ila wakwangu never kuibiwa na nikihisi nimeibiwa aloo!! naumia halafu nakuwa na hasira mbaya.
 
Inawezekana kuishi bila kucheat...kwa wale wasioamini kama inawezekana wachange tu hiyo attitude yao na waamini inawezekana kama tu wataamua...

Nimeipenda hii!
 
hapna maana yangu ni kuwa kuakaa pembeni na hiyo cheating,wanaoona kucheat kuwa ni jambo la kawaida waendelee na sisi tunaojionea shida tukae pembeni tunawaangalia tuone mwisho wake ni nini.

Kweli
Tujikalie zetu pembeni na tumuombe Mungu!
 
Back
Top Bottom