Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Sasa ndugu yanguu tangu lini mjumbe akauawawaa?? kwa nini usimlalamikie zitto aliye-tweet??
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Risasi alizopigwa Lissu zimebadili ukweli wa yale aliyosema?

Bora uishiwe hela utakopa benki, ukiishiwa hoja unageuka kioja!
 
Pumbavu mkubwa wewe, ungekuwa karibu Yangu ningekupasua kichwa,nyie na genge lenu la uhalifu CCM ndo mnaona raha sana kuendelea kuifilisi nchi yetu ,ni kipi mlichowahi kufanya kikazaa matunda? Makinikia yalikuwa yakisafirishwa kisheria,na mkataba upo,magufuli akawaona watangulizi wake hawana akili ,yeye ndo mjuaji wa kila kitu,Magufuli ni mamluki aliyetumwa kuiangamiza Tanzania.
1.Tulilipa meli ya wachina kwa Sababu yake( ile ya uvuvi)
2.Ndege ilishikiliwa Canada kwa amri ya mahakama baada ya yeye kuvunja mkataba na kampuni ya ujenzi,tukalipa mabilioni ndo ndege ikaachiwa.
3.TANESCO inatakiwa kuilipa IPTL mabilioni ya pesa(imetokea akiwa madarakani)
4.akijua fika kuwa anavunja sheria za kimataifa alizuia makinikia na sasa lazima tulipe tens
5.kafukuza kazi watu hovyo,ametumia pesa za umma kununua ndege kujenga kiwanja cha ndege bila kufuata taratibu sasa hazina imekauka anataka kuchapisha pesa kama Idd Amin.
Tabia zenu za kusifia kila jambo mnaonyesha kiasi gani mlivyo wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
AMINA
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Tatizo lenu mnaelewa taratibu ssana, wekeni hakiba ya maneno.
 
Sasa kama walijua watashtaki kwanini waliacha rais wetu akajichoresha mbele ya vyombo vya habari wamekubali kulipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni mbinu za wazungu..kuhalalisha kuwa walijaribu kila wawezalo na serikali lkn hawakufikia muafaka..angalia mpira ulivyokuwa unatupwa Barrick (kampuni mama)..kwenda Accacia ..leo wamekubali kulipa kesho wanakanusha...mpk mkuu akawaita Wanaume!..sasa wamepata sababu ,maana hata madai yetu ya trilion 400 yalikuwa ya ajabu ,..wakati thamani ya kampuni haina hata robo ya fedha hizo!ni kituko..na kwa hali ilivyo washajitengenezea mazingira ya kushinda kesi..
 
inasikitisha kuona baadhi ya watu (kundi fulani) wanavyofurahia.....

kila siku nazidi kupata sababu mpya za kutouelewa upinzani wa tanzania
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Mkuu, vile vichwa vya treni vilikuwa na mwenyewe?!
Mwaka 2015 bei ya kilo ya sukari ilikuwa Tsh. 5000/=?!
Bombadia ilizuiliwa Canada au haikuzuiliwa?!
..........!!!
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Ukweli mchungu mkuu...tulia sindano iingie
 
Sasa kama walijua watashtaki kwanini waliacha rais wetu akajichoresha mbele ya vyombo vya habari wamekubali kulipa?

Sent using Jamii Forums mobile app


Huyo Rais wako ndicho anachokitaka kukisikia. na hapa ndio ile frustration itamsukasuka haswa.................. na hata lala wala kula... uzuri anaweza kuamua kuwaambia watanzania au laa kukaa kimya.. sifa hizi jamani.
 
Upinzani na mabepari lao ni moja. Kuhakikisha kuwa hatupati maendeleo.
 
Mi kila siku ninasema hapa hakuna asipenda kilo ya sukari ama mfuko wa cement ama kilo ya unga ishuke bei. Sote tunapenda bidhaa muhimu zishuke bei lakini kwa mwendo huu sijui tu. Utashi wa mtu na sheria za kimataifa ni vitu 2 tofauti jamani. Nasikia kuna kesi zaidi ya 100 na zote tunadaiwa, ni juzi tu TANESCO wamepigwa rungu, jamani sisi masikini ndio tunaolipaaaaa mtuonee hurumaaaa, siku hizi ukinunua vocha ya buku haloo haloooo!! imeisha tunaibiwa senti zetu kufidia mambo kama haya inauma kwakweli
 
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.

Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.

Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.

Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?
KAMA ni kweli nimekosa la kusema.
Duh UMENIUMIZA SANA KUNIKUMBUSHA ILE NOAH AMBAYO TUGEIPATA BAADA YA MGAO HALAFU TUKAISHIA KUPEWA BILLIONI 700 NA KUAMBIWA HATA HIZI TUSINGEZIPATA.. TENA KUWAITA JAMAA WANAUME MBELE YA KAMERA.
DUH! NILIHAMIA NYUMBA YENYE GETI KABISA KWA AJILI YA KUPAKI GARI.... HATAREE

mwanza kwetu
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Wao taarifa mbaya yyt kuhusu serikali ni sahihi.Ukitaka kuamini,tunga nawe yako upost uzi utakimbia balaa.
 
Back
Top Bottom