Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

screenshot_20180904-212807-jpg.857248
 
MAFISIEM NI HATARI KWA NCHI YETU. LIMOJAWAPO LILIKUWA USA JUZI LIKADANGANYA KUWA WALIOMUUA RAIS WA ZAMANI WA USA, JOHN KENEDY ETI HAWAJULIKANI HADI LEO. MIMI NIMFAHAMU VIZURI PALAMAGAMBA KUWA NI MSANII WA KISHERIA. WASIOSOMA WAKIMSIKILIZA AKIWALISHA MATANGO PORI HUAMINI AKISEMACHO. SISI WENGINE TUNAMFAHAMU. HAWEZI KUSIMAMIA ANACHOKIAMINI. MUULIZE KAMA BADO ANAIAMINI ILE RASIMU YAO YA KATIKA YA WARIOBA AMBAYO YEYE MWENYEWE ALISHIRIKI LAKINI LEO ANAIKANA KABISA AKIAPA KWA MBINGU NA NCHI KWAMBA NZURI NI ILE YA CHENGE NA GENGE LAKE.

MAFISIEM BWANA!
screenshot_20180904-212807-jpg.857248
 
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.

Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.

Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.

Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?

Fuatilia taarifa zifuatazo ili kupata uelewa zaidi;
1.Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320! - JamiiForums - Bilioni 320
2. Lissu aibua jambo ndege ya Bombardier - Bilioni 87
3. EcoEnergy lodges $500m claim after govt revoked its land title - Zaidi ya Bilioni 1000
4. U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute ( U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute) - zaidi ya Bilioni 1000
5. Sh336bn award verdict against Tanesco upheld - Bilioni 336 ( Tanesco must now pay the Hong Kong arm of Standard Chartered Bank a staggering $148.4 million (about Sh336 billion on the prevailing Bank of Tanzania exchange rate) owed under a power agreement )
6. http://www.acaciamining.com/export-ban-facts/press-releases/2017-07-04.aspx
Firm seeks payment of Sh130bn award
7. Firm seeks payment of Sh130bn award - Bilioni 130 ( News reports yesterday revealed Konoike Construction Company on Tuesday asked the District of Columbia Federal Court to sign off the award it won in February 2016 against the government.)
umeandika upumbaf mtupu..unatueleza nini sasa hapa..potelea mbali hata wakitudai kwa sababu ya kukatisha mikataba la msingi mambo ya kuendelea kutuibia yamekwisha..!! hivi wewe ulikuwa unafurahi kuendelea kuibiwa au??? hatukuelewi..pumbaf kabisa..ungefurahi tuachiwe mashimo bila faida yoyote..?? mambo mengine muwe mnakuwa wazalendo kuitetea nchi yenu..na hii ni faida ya leo na hata vizazi vyetu vijavyo..je unataka kutuambia yale makanikia yaliyosimamishwa pale bandarini yalikuwa yana aina moja tu ya madini kama walivyokuwa wanasema hao matapeli..?
je wewe binafsi ungependa tuendelee kuibiwa hivi...??? nadhani wewe ni mmoja kati ya vibaraka waliopo nchi hii..mnakula kwa migongo ya wanyonge..shwainnnn...
 
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.

Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.

Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.

Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?

Fuatilia taarifa zifuatazo ili kupata uelewa zaidi;
1.Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320! - JamiiForums - Bilioni 320
2. Lissu aibua jambo ndege ya Bombardier - Bilioni 87
3. EcoEnergy lodges $500m claim after govt revoked its land title - Zaidi ya Bilioni 1000
4. U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute ( U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute) - zaidi ya Bilioni 1000
5. Sh336bn award verdict against Tanesco upheld - Bilioni 336 ( Tanesco must now pay the Hong Kong arm of Standard Chartered Bank a staggering $148.4 million (about Sh336 billion on the prevailing Bank of Tanzania exchange rate) owed under a power agreement )
6. http://www.acaciamining.com/export-ban-facts/press-releases/2017-07-04.aspx
Firm seeks payment of Sh130bn award
7. Firm seeks payment of Sh130bn award - Bilioni 130 ( News reports yesterday revealed Konoike Construction Company on Tuesday asked the District of Columbia Federal Court to sign off the award it won in February 2016 against the government.)
unatuambia upuuzi eti Lissuu..yeye ndio nani nchi hii..!! aende kuleee..usitukumbushe hili jamaa lililoonekana kwenye makamera likiwa linaingia maofisi ya Accasia kwenye kuchukua data za kuikandamiza serikali na watu wake...tena usitukumbushe tusije panda mihemko...acha apambane na hali yake apone..Lissuuu mwenye ameshakwambia hataki tena siasa za vyama..akirudi anaenda ishi jimboni kwake na wanachi kutafuta maendeleo
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
empty headed dumb ass
 
unatuambia upuuzi eti Lissuu..yeye ndio nani nchi hii..!! aende kuleee..usitukumbushe hili jamaa lililoonekana kwenye makamera likiwa linaingia maofisi ya Accasia kwenye kuchukua data za kuikandamiza serikali na watu wake...tena usitukumbushe tusije panda mihemko...acha apambane na hali yake apone..Lissuuu mwenye ameshakwambia hataki tena siasa za vyama..akirudi anaenda ishi jimboni kwake na wanachi kutafuta maendeleo
Acha jazba,punguza povu, Mkuu "Transparency ",Tumefundishwa serikali ni wananchi na wananchi ndio serikali,...kwanini wananchi wafichwe na kikundi fulani cha siasa kwenye mambo yanayowahusu
 
Hapa siyo swala la furaha kijana....!!

Watz wanataka kujua kama hizi kamati za kina Ossoro na Mruma ambazo TAL aliziita ni Professional rubbish zimeleta tija gani kwa Taifa..! Kamati zilivunja kwa kukiuka Mikataba ya Kibiashara tena ya Kimataifa, ambayo Serikali ya Tanzania yenyewe ilitengeneza hiyo Mikataba ya kiuwendawazimu na ikasaini kukubaliana na Wawekezaji kwa hiari leo unakataaje?

Hii kesi imekaa vibaya sana kwa Tanzania na hakuna namna Serikali ya Magufuli itakwepa...Surely they must pay. Ni maneno machungu lakini ukweli lazima usemwe kama JPM anavyoimba kila siku kwamba MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU..!!
Kama ni swala la kupigwa risasi mchana kweupe kwa wanaoitwa WASALITI WA MADINI NA RASLIMALI ZA TAIFA kwa kuliingiza Taifa kwenye gharama za kukurupuka na kutaka sifa basi Firing Squad ianzie kwa Prof. Kabudi, Prof. Ossoro, Prof.Mruma na wajumbe wote wa KAMATI ZOTE ZA MAKINIKIA bila kuwasahau Marais, Mawaziri wote waliohusika na kubariki mikataba hiyo..!!

1.jpg
We jamaa leo njoo tujadili ili suala ili tujue kipi ni sahihi, maana wakati huo kulikuwa na mihemko sana
 
Ila kamati ya Majadiliano kama sio ghilba, roho mbaya, wizi, na tabia z kichawi, ilitaiwa Lissu awe miongoni mwa Wanakamati ile ya majadiliano, naamini Tundu Lissu ni Geneous, Gifted Creature kuliko hwa wachumia tumbo.

Vipi Acacia mkuu Uje hapa na Lissu
 
Back
Top Bottom