Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.
Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.
Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.
Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?
Ila kamati ya Majadiliano kama sio ghilba, roho mbaya, wizi, na tabia z kichawi, ilitaiwa Lissu awe miongoni mwa Wanakamati ile ya majadiliano, naamini Tundu Lissu ni Geneous, Gifted Creature kuliko hwa wachumia tumbo.
 
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.
Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.
Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.
Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?
Huwa nikiona taarifa ya Lisu mapigo ya moyo yanaenda kasi saana sijui kwa nini ,huyu kiumbe huyu huko alipo kaipumzisha nchi kwa Mengi aendelee kupumzika tu huko na sisi waccm tuendelee kupumua,
 
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.
Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.
Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.
Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?
Mimi bado naisubiria Noah yangu kupitia huo mgao
 
hivi hizi shithole countries, sorry donor countries hazina wasemaji wake?. kama hii hadithi mbaya namna hii wanashindwa kukusanya mic na kamera zote za ndani na za nje? au wanataka kupika mambo? one world one village hata kama ukinya toronto watu watajua ukweli.
 
Jiwe alidhani anao uwezo wote wa kutoa miamri ya kikoromije hata kwa wadhungu kama anavyoivuruga hii shithole nchi. Hakujua wadhungu wana akili nyumbulifu hasa linapokuja suala la maslahi. Sasa upepo umepuliza, nyeti za kuku sasa zitaonekana...
Umenikumbusha kahama
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Wacha kurusha ngumi hewani na nilazima ujue sasa kuwa tupo kwenye dunia ya utandawazi hakuna jambo linafanyika bila kujulikana hayo mawazo yako ya kuwapiga watu risasi ni uduni wa akili yako na udumavu wamawazo pumbafuu mkubwa wewe
 
Tatizo mawaziri tulionao wanafanya kazi huku wakimwogopa raising. Hivi waziri was sheria ambaye no prof nguli wa sheria,anashinwaje kumshauri bwana raisi na kumweleza athari hasi zinazoweza kutokea,ikiwa jambo fulani LA kisheria likiwa mishandled!!!? Hawaoni kuwa kwakushindwa kutoa ushauri wao ndo wanaonekana MAZUZU na si raid,kwani ilivyo ni kuwa rais sio mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
Waelewe wanaheria ni wabishi hata kesi aliyoishuhudia ya murder ataweka utetezi ili amchomoe mshitakiwa. Kabudi amerithi tabia hawezi kufanya vizuri
 
Back
Top Bottom