Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Kweli mkuu!
Unajichosha kuwaombea watu ambao wanafanya vitu kwa makusudi kabisa wakijua kua hakuna siku yatamhusu kama yeye binafsi!
Inachosha na kuumiza akili,nafsi,roho,moyo na kila kitu!
Noma sana !
 
Tatizo mawaziri tulionao wanafanya kazi huku wakimwogopa raising. Hivi waziri was sheria ambaye no prof nguli wa sheria,anashinwaje kumshauri bwana raisi na kumweleza athari hasi zinazoweza kutokea,ikiwa jambo fulani LA kisheria likiwa mishandled!!!? Hawaoni kuwa kwakushindwa kutoa ushauri wao ndo wanaonekana MAZUZU na si raid,kwani ilivyo ni kuwa rais sio mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app

Toa neno nguli wa sheria unguli unaupaima kwenye nini?
 
Lissu hajawai kua muongo hata siku moja na wala hajawai kua msaliti wa Taifa kama wanavyodai wengi Tatizo watu lissu wamemfahamy akiwa mbunge sisi ambao tunamfahamu Lissu toka hajawa mbungu tunajua yeye ndo mzalendo wa kweli
 
Sijui tukishindwa hii kesi wale waliokuwa wanamtukana Lissu watasemaje
Mkuu naomba ushike maneno yangu ,,,!!
'WATASHINDWA KESI NA TUTALIPA GARAMA ZOOÒTE'
Eidha kwakushikiwa Mali zetu au kilipa kwa hiari ,,!!
Hii michezo haiitaji ujuaji na asira
U hav to set down & hav a cup of tea, unless atherwayz ujipate umeangukia Pua ,,,!!
Copy
 
ISSUE YA MALAYSIA!
MANENO mengi pumba tupu walahi!
That’s all
 
Natamani kusikia wote waliotufikisha hapa wanawajibika kwa kujiuzulu uongozi
 
Mungu apishie mbali hili balaa la Acacia maana litatuumiza watanzania wote.
Kwa kuwa Lissu aliishauri serikali wazi wazi,na ushauri wake ukapuuzwa ,je serikali hii ya sisiem iko tayari.
1:Kuwajibika(kabla ya wananchi hatujaiwajibisha kwa nguvu ya Uma) endapo tutaingia hasara ya kuwalipa hao Acacia.
2:Serikali ya itakuwa tayari KUMSAFISHA Lissu kwani tumeaminishwa ni MSALITI na adui namba moja wa Taifa.
3:Kumwomba msamaha kwa kutokugharimia matibabu yake kwa hasira tu ya kudhania ni
adui wa Taifa.

Lissu alisema wazi wazi,tuanza kwanze kujitoa kwenye hiyo mikataba ya kimataifa tuliyo sign.MKAMPUUZA.Sisi tunaweka kumbukumbu ili siku ikifika TUWAHUKUMU.TUTAWAHUKUMU,kama siyo sisi vizazi vyetu.
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Nakuunga mkono,
watu wanapotosha ndege yetu ilikamtwa wakati ilikuwa kwenye matengenezo....upuuzi kabisa
Halafu wanatupotosha kuwa Acacia hawawezi kutulipa hata 100 wakati tulishapigiwa hesabu kila mtanzania atamiliki Noah kwa nini wasiadhibiwe?
Wapotoshaji wote wasakwe tu.
 
Mimi Namlaani Kikwete na usalama wa taifa watatuwekeaje mtu kichaa anatamba kabisa eti mimi kichaa halafu munampa nchi katika miaka miwili kavuruga kila kitu kila kitu anachojuwa kuuwa watu
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Toa mfano wa tweet za zzk za uongo kama umeshindwa kubofya hizo links na kujisomea mwenyewe facts. Ukitaka kuwa na umbuji wa kweli jifunze kusoma articles, journals na vitabu visivyosomwa na wengi!
 
Pumbavu mkubwa wewe, ungekuwa karibu Yangu ningekupasua kichwa,nyie na genge lenu la uhalifu CCM ndo mnaona raha sana kuendelea kuifilisi nchi yetu ,ni kipi mlichowahi kufanya kikazaa matunda? Makinikia yalikuwa yakisafirishwa kisheria,na mkataba upo,magufuli akawaona watangulizi wake hawana akili ,yeye ndo mjuaji wa kila kitu,Magufuli ni mamluki aliyetumwa kuiangamiza Tanzania.
1.Tulilipa meli ya wachina kwa Sababu yake( ile ya uvuvi)
2.Ndege ilishikiliwa Canada kwa amri ya mahakama baada ya yeye kuvunja mkataba na kampuni ya ujenzi,tukalipa mabilioni ndo ndege ikaachiwa.
3.TANESCO inatakiwa kuilipa IPTL mabilioni ya pesa(imetokea akiwa madarakani)
4.akijua fika kuwa anavunja sheria za kimataifa alizuia makinikia na sasa lazima tulipe tens
5.kafukuza kazi watu hovyo,ametumia pesa za umma kununua ndege kujenga kiwanja cha ndege bila kufuata taratibu sasa hazina imekauka anataka kuchapisha pesa kama Idd Amin.
Tabia zenu za kusifia kila jambo mnaonyesha kiasi gani mlivyo wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Yani jitu kama hilo ni unapiga hadi unalitafuna...... wakati watu wanatoa tahadhari yenyewe ndo yako mstari wa mbele kushadadia upumbavu......... af leo yanaongea as if kinachotokea watahadharishaji ndo wamesababisha......... yankera haya mawatu.
 
Back
Top Bottom