Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Tutamuelewa Tundu Lissu muda mchache ujao

Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Hata wakati Bomberdia ipo rehani Canada mlibisha hivi hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapotoshaji eehh wewe lopoka tu au nawewe ulitunukiwa kile cheti nini mbona povu jingi hivi
Hahahahaha Mkuu umenikumbusha vile vyeti,hii Nchi ina waigizaji Wakimataifa. Sijui waliopewa vile vyeti watakuja kujibu nini pale Watoto au Wajukuu zao watakakuja kuwauliza vile vyeti walitunukiwa kwa kazi ipi kubwa na ya muhimu kwa Taifa walioifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwako wewe unaona ni furaha sana eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu mkubwa wewe, ungekuwa karibu Yangu ningekupasua kichwa,nyie na genge lenu la uhalifu CCM ndo mnaona raha sana kuendelea kuifilisi nchi yetu ,ni kipi mlichowahi kufanya kikazaa matunda? Makinikia yalikuwa yakisafirishwa kisheria,na mkataba upo,magufuli akawaona watangulizi wake hawana akili ,yeye ndo mjuaji wa kila kitu,Magufuli ni mamluki aliyetumwa kuiangamiza Tanzania.
1.Tulilipa meli ya wachina kwa Sababu yake( ile ya uvuvi)
2.Ndege ilishikiliwa Canada kwa amri ya mahakama baada ya yeye kuvunja mkataba na kampuni ya ujenzi,tukalipa mabilioni ndo ndege ikaachiwa.
3.TANESCO inatakiwa kuilipa IPTL mabilioni ya pesa(imetokea akiwa madarakani)
4.akijua fika kuwa anavunja sheria za kimataifa alizuia makinikia na sasa lazima tulipe tens
5.kafukuza kazi watu hovyo,ametumia pesa za umma kununua ndege kujenga kiwanja cha ndege bila kufuata taratibu sasa hazina imekauka anataka kuchapisha pesa kama Idd Amin.
Tabia zenu za kusifia kila jambo mnaonyesha kiasi gani mlivyo wajinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii nchi inachosha hata kuiombea , ngoja Mungu aamue apendavyo tu .

Liwalo na liwe .
Sehemu iliyolaaniwa na Mungu hata uiombeeje haiwezi kubadilika,Tanzania imelaaniwa Nina hakika kabisa na hilo mtu kaingia ikulu anamaliza miaka mitano kazi yake kubwa ni kuhakikisha tu upinzani umekufa,kesho kutwa ni uchaguzi mkuu hakuna la maana alilofanya,hana talent ya uongozi,2020 atarudi ikulu kwa nguvu keshajua hapendwi,sasa taifa la hovyo kama hili unaanzaje kuliombea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Kama Zitto anatweet uongo mbona hachukuliwi hatua.......!!?
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Lisu alipigwa risasi baada ya bombardier yetu kukamatwa...........
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Wanawake wanazaa takataka sana mojawapo ni wewe boya,unafurahia watu kupigwa risasi?pumbavu sana muuaji mkubwa wewe!
Mimi nipo Acacia, na tayari wafanyakazi wote wa Acacia tuliokuwa tumesalia tumepewa memo ya kuondolewa kazini ili mgodi ufungwe rasmi,hadi kesi iishe,unakurupuka tu hujui lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NO WAY AND NEVER WALAHI!
That’s all
 
Sasa kama walijua watashtaki kwanini waliacha rais wetu akajichoresha mbele ya vyombo vya habari wamekubali kulipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudi nyuma nakujipanga upya hiyo ni mbinu ya mapigano(waliopitia jkt wanaelewa), ilitakiwa tujihoji what if hakutuzunguka wakaenda mahakani wakati wametuhadaa na mazungumo? Ila mm naamini ile flash itatusaidia
 
Walishamjua ni Mzee wa Makamera kwa hiyo walimwacha ili ajiakaange kwa mafuta yake mwenyewe,ndio hili sasa mtoa mada analoulizia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua magufuli angekua diplomatic wangemweleza ukwel mapema kwamba hana chake na akileta mchezo watashtaki, ila sasa kujifanya yeye ni mtu wa kutumia maguvu wakaona ngoja wacheze ngoma anayotaka halafu mwisho wa siku ndo hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui tukishindwa hii kesi wale waliokuwa wanamtukana Lissu watasemaje
Tatizo mawaziri tulionao wanafanya kazi huku wakimwogopa raising. Hivi waziri was sheria ambaye no prof nguli wa sheria,anashinwaje kumshauri bwana raisi na kumweleza athari hasi zinazoweza kutokea,ikiwa jambo fulani LA kisheria likiwa mishandled!!!? Hawaoni kuwa kwakushindwa kutoa ushauri wao ndo wanaonekana MAZUZU na si raid,kwani ilivyo ni kuwa rais sio mwanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo taarifa ukiulizwa u prove umeziona wapi unaweza?, au kwasababu Zitto katweet basi ndo imeshakuwa taarifa?, mara ngapi Zitto anatweet uongo?, watanzania tunapenda sana kudakia story za kusikia ndo maana wengine tunaona ni bora hata wapotoshaji wakipigwa risasi tu.Hawana maana kwenye jamii.
Tulia, CCM tunawajua huwa wazito sana kuelewa lkn utaelewa tu, ya Escrow tuliwaambia mkabisha leo tunadaiwa zaidi ya b1, ya bombadia tuliwaambia imekamatwa mkabisha ilibidi tulipe ikaachiwa, ya Acacia tunawaambia mnadai tumetoa wapi.

Nyie endeleeni kujifanya mnamsaidia na kumtetea rais kumbe mnampotosha.
 
Back
Top Bottom