Hapa siyo swala la furaha kijana....!!
Watz wanataka kujua kama hizi kamati za kina Ossoro na Mruma ambazo TAL aliziita ni Professional rubbish zimeleta tija gani kwa Taifa..! Kamati zilivunja kwa kukiuka Mikataba ya Kibiashara tena ya Kimataifa, ambayo Serikali ya Tanzania yenyewe ilitengeneza hiyo Mikataba ya kiuwendawazimu na ikasaini kukubaliana na Wawekezaji kwa hiari leo unakataaje?
Hii kesi imekaa vibaya sana kwa Tanzania na hakuna namna Serikali ya Magufuli itakwepa...Surely they must pay. Ni maneno machungu lakini ukweli lazima usemwe kama JPM anavyoimba kila siku kwamba MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU..!!
Kama ni swala la kupigwa risasi mchana kweupe kwa wanaoitwa WASALITI WA MADINI NA RASLIMALI ZA TAIFA kwa kuliingiza Taifa kwenye gharama za kukurupuka na kutaka sifa basi Firing Squad ianzie kwa Prof. Kabudi, Prof. Ossoro, Prof.Mruma na wajumbe wote wa KAMATI ZOTE ZA MAKINIKIA bila kuwasahau Marais, Mawaziri wote waliohusika na kubariki mikataba hiyo..!!