Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Baada ya propaganda zilizoendeshwa na Serikali ya JPM kupitia Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Kabudi juu ya hatma ya majadiliano na Barrick, kumeibuka taarifa kwamba Acacia wamesajili rasmi kesi yao ya madai katika Mahakama ya Usuluhishi jijini London ikitaka fidia ya zaidi ya trilioni moja. Hili linatokana na Serikali ya Magufuli kuweka katazo la kusafirisha makinikia kinyume na makubaliano ya kimkataba.
Kutokana na majadiliano hayo, ambao Waziri alilieleza Bunge kwamba mambo hayo ni siri japo baadhi walifahamu kuwa hakuna makubaliano yeyote yaliyofikiwa na Barrick zaidi ya pande hizo zinazokinzana kutafuta usuluhishi katika Mahakama Huru kwa mujibu wa sheria za kimataifa za uwekezaji.
Waziri huyu Prof Kabudi aliuhadaa umma wa Watanzania kwamba hakuna atakayeshitakiwa na wengi wao wakabaki kumpigia makofi.
Sasa muda wa kufikirishwa umefika, ni wakati muafaka sasa kuwahoji voingozi wetu juu ya hatma ya majadiliano ya kamati, na kwa nini Acacia wametushitaki wakati sisi ndio tulikuwa tunawadai trilioni 400 ?
Fuatilia taarifa zifuatazo ili kupata uelewa zaidi;
1.Tegeta Escrow: TANESCO yashindwa kesi dhidi ya IPTL. Yaamriwa kulipa zaidi ya Sh. Bilioni 320! - JamiiForums - Bilioni 320
2. Lissu aibua jambo ndege ya Bombardier - Bilioni 87
3. EcoEnergy lodges $500m claim after govt revoked its land title - Zaidi ya Bilioni 1000
4. U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute ( U.S. firm seeks $561 million from Tanzania in power supply dispute) - zaidi ya Bilioni 1000
5. Sh336bn award verdict against Tanesco upheld - Bilioni 336 ( Tanesco must now pay the Hong Kong arm of Standard Chartered Bank a staggering $148.4 million (about Sh336 billion on the prevailing Bank of Tanzania exchange rate) owed under a power agreement )
6. http://www.acaciamining.com/export-ban-facts/press-releases/2017-07-04.aspx
Firm seeks payment of Sh130bn award
7. Firm seeks payment of Sh130bn award - Bilioni 130 ( News reports yesterday revealed Konoike Construction Company on Tuesday asked the District of Columbia Federal Court to sign off the award it won in February 2016 against the government.)