ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,843
- 44,503
- Thread starter
-
- #141
Baasi nimeacha πUnanijeuria au sio ? πππ
Hapa umeongea vizuri na hakuna cha nyongeza..Mwaka 2000 baada ya uchaguzi kukatokea machafuko makubwa sana Zanzibar, wananchi waligomea matokeo ambayo dhahìri kabisa Maalim Seif aliporwa ushindi
Yale maandamano yalifanya vikosi kutoka Tanganyika kupelekwa kutuliza ghasia ambazo ama kwa hakika watu wengi sana walipotezwa.
Toka 2000 mpaka leo wazanzibari wamekuwa wapole sana, hata wakiporwa ushindi wanakaa kimya.
Fast forward 2025 October, mambo yamekuwa kama kule unguja. Hii maana yake nini, Tanzania kama haitakuwa na wanasiasa wenye utashi wa kukaa mezani na kuweka mambo sawa, tutaongozwa kidikteta miaka mingi ijayo, nasema kidiktrta kwa sababu katiba ya 1977 ambayo kimsingi imezeeka, haiendani na maisha ya sasa, inakumbatiwa na watawala kwa sababu tu inawapa favours nyingi kuendelea kutawala.
Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama hawezi kuwa ndio anateua mwenyekiti wa INEC, wakurungenzi wa kusimamia uchaguzi, watendaji wa serikali za kata/mitaa/vijiji halafu useme kuna uchaguzi, hakuna fair grounds hata kidogo.
What to do, watch!!
Halafu mheshimiwa mmiliki wa uzi analeta jeuri, nimeumia sana π₯Ίπ₯Ίπ₯ΊMkuu hutaki iingie kwenye answadiππππ
Acha ujeuri nitakufanyia cham π€£Baasi nimeacha π
Usinipe laana π’
Mleta uzi asamehewe hajui atendaloπHalafu mheshimiwa mmiliki wa uzi analeta jeuri, nimeumia sana π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Kwisha mimi uwiiiAcha ujeuri nitakufanyia cham π€£
Watu weeweππππ, lazima tupate nchi tunayoipenda.Naunga mkono hoja mkuu umeongea vyema sana πππ₯
Fire π₯ watu wowoooo πͺπ
Kuna namna inabidi tuondoe vilaza kwenye hizi taasisi zetu.Exactly maarifa kidogo taifa linaangamia
Mwalemi ni sawa na kusema Olakoze au wavenja sana.Hapa umeniacha
Yaani huwa natamani niandike kitabu ila uvivu ndio unanikosesha hela. Lakini nikiendelea kukoment hivi utaondoka wenyewe.Uliwahi kusema ni mvivu kuandika nakumbuka π
Asante piaπβ₯οΈShukran kaka
Asante kwa mchango wako makini π
ManifestWatu weeweππππ, lazima tupate nchi tunayoipenda.
Exactly broKuna namna inabidi tuondoe vilaza kwenye hizi taasisi zetu.
Wewe upo wap hapo?Mwalemi ni sawa na kusema Olakoze au wavenja sana.
Maana yake ni ASANTE, mwalemi ni kihehe, Olakoze ni kiha/waha na wavenja ni kisukuma.
Huwa napenda tuu lugha za makabila yetu.
Hashtag #tokomeza uvivuYaani huwa natamani niandike kitabu ila uvivu ndio unanikosesha hela. Lakini nikiendelea kukoment hivi utaondoka wenyewe.
π§‘Asante piaπβ₯οΈ
Tuko pamoja kulijenga Taifa letu.
Kwakweli hata Mimi namuona amekua jeuri sana,Halafu mheshimiwa mmiliki wa uzi analeta jeuri, nimeumia sana π₯Ίπ₯Ίπ₯Ί
Nisamehewe πKwakweli hata Mimi namuona amekua jeuri sana,
Chakufanya tutampokonya zile popcorn anakujaga nazo kwenye Uzi wa T.A.L
πͺπͺπͺπ€Manifest
π―π€Exactly bro
MwalemiWewe upo wap hapo?
Ndio uniseme tena kwa reli ππ‘.Hashtag #tokomeza uvivu
π§‘
Meza dawa acha kudeka hapa ππͺπͺπͺπ€
π―π€
Mwalemi
Ila Nyerere alikatazaπππ
Ndio uniseme tena kwa reli ππ‘.
Shukran mkuu karibu tena kwenye mijadala mingine zaidi π€Ila asante sana, thread zako nyingi huwa zinanivutia na kunifanya niandike. Am in JF since 2012 ila sijawahi kureply as I do.
Hata social media zingine ndio kabisa akaunti zangu ni kama mfuπππ.
π«‘π«‘ bienNikiandika kitabu nitakuweka kwenye DIBAJIπ€
Nam follow huyu jamaa aiseeMeza dawa acha kudeka hapa π
Shukran mkuu karibu tena kwenye mijadala mingine zaidi π€
π«‘π«‘ bien
Kwanini umufoloNam follow huyu jamaa aisee
Manyanza Binti ameomba msamaha naona asamehewe.Nisamehewe π
Na popcorn zisiguswe
Shukrani mkuu, follow back itahusika.Nam follow huyu jamaa aisee
Chungu ndio dawaππ€£π€£π€£Meza dawa acha kudeka hapa π
Pamoja mkuu, shukrani pia kwa maadaππShukran mkuu karibu tena kwenye mijadala mingine zaidi π€
ποΈποΈποΈποΈ You deserve it.π«‘π«‘ bien
Amen πChungu ndio dawaππ€£π€£π€£
Pamoja mkuu, shukrani pia kwa maadaππ
ποΈποΈποΈποΈ You deserve it.
Pamoja Mkuu,πShukrani mkuu, follow back itahusika.