ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,702
- 43,783
- Thread starter
-
- #61
Kuna kitabu cha dini kinasema :Wewe unadhani tufanyeje, ccm imeshikilia kila kitu kuanzia madaraka mpaka majeshi, kama wao watataka mabadiliko ya kikatiba, mabadiliko ya kimfumo, itakuwa rahisi. Ila hawataki na hawatakubali kubadilisha chochote maana wanajua any changes and they're out.
Mtu ambaye hataki make mezani muongee unadhani utatumia njia gani kuelewana nae, tell me!!
Uzuzu ni kama ulivyo ujinga, ujinga ni kutokujua, ukielimishwa ukijulishwa ujinga unakutoka unakuwa mwerevu, sio mjinga tena.Sisi Watanzania ni mazuzu 🤔
Mzee Pascal Mayalla wewe umeliona jua kabla yangu
Unaweza kua sawa na mzazi wangu au zaidi?
Nikuulize kwa upole je kuna dawa ya uzuzu?
Fafanua, I cannot comprehend!Kuna kitabu cha dini kinasema :
Usimnyime mtoto wako mapigo
maana ukimpiga kwa fimbo hatakufa Utampiga kwa fimbo, na kumponya nafsi yake na kuzimu
Mwenyekiti wa CCM alitoa ahadi kua swala la katiba lingeanzishiwa mchakato ndani ya siku 100 vipi mpaka sasa siku 100 moja bado?My friends, ladies and gentlemen,
binafsi nadhani wanachoweza kufanya hao waTanzania wachache sana wanaolalamika hasa kupitia mitandao ya kijamii ni kuungana kutukana, kuporomosha matusi na pengine kuwazomea watu wenye maoni tofauti na yao, wanaweza kuungana kushangilia vifo vya waja wa Allah wenye mtazamo tofauti na wao na sio zaidi ya hapo.
Malalamiko uliyoyaeleza hapo juu mengi yanaendelea kufanyiwa kazi na wawakilishi wa wananchi bungeni, lakini pia serikali sikivu ya CCM katika utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi, inayafanyia kazi masuala yote yanayozungumzwa mitandaoni ambayo kwakweli ni ya kawaida sana na yalielezwa hata kwenye kampeni za uchaguzi 2025.🐒
Tukae pamoja tujadili na kukubaliana ni nini hasa tunataka na tuchukue actionKwahiyo wewe unashauri tufanyeje ili tusiendelee kulalamika
Nadhani ikiwa umefualilia kongamano la TCD linaloendelea jijini Dar Es Salaam, makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Stephen Masatu Wasira ameeleza kwa kina zaidi kuhusu ahadi hiyo muhimu sana, ambayo kutokana na mazingira yaliyotokea ilikosa umuhimu wa kuzingatiwa na kutekelezwa au kufanyiwa kazi.Mwenyekiti wa CCM alitoa ahadi kua swala la katiba lingeanzishiwa mchakato ndani ya siku 100 vipi mpaka sasa siku 100 moja bado?
Kwa maana hiyo kuendelea kulialia na kutoa kamasi tunazidi kudhihirisha uzuzu wetu upo kwa viwango vya juu zaidiUzuzu ni kama ulivyo ujinga, ujinga ni kutokujua, ukielimishwa ukijulishwa ujinga unakutoka unakuwa mwerevu, sio mjinga tena.
Uzuzu ni hii hali ya kufanywa lolote huku wewe umetulia tuu kama zuzu, dawa ya uzuzu ni kuzinduka kwenye usingizi wa pono, ukifanyiwa jambo ambalo sio, unasimama imara na kusema loud and clear a Big No!, you can't do this to us!, sisi sio mazuzu!.
P
Kama mtoto hasikii kwa ulimi basi apewe kiboko kumzinduaFafanua, I cannot comprehend!
Ukikosoa unakuwa adui wa taifa.Hawawezi kukubali mabadiliko yoyote, katiba iliyopo inamfanya mwenyekiti wa chama ambaye ni raisi wa nchi na mgombea uraisi kuteua wasimamizi wa uchaguzi, yaani timu A inateua refa wa kuchezesha mechi ya Timu A vs Timu B. Hakuna faith grounds.
Sasa kosoa uone!!
Hali ilikuaje?Nadhani ikiwa umefualilia kongamano la TCD linaloendelea jijini Dar Es Salaam, makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Stephen Masatu Wasira ameeleza kwa kina zaidi kuhusu ahadi hiyo muhimu sana, ambayo kutokana na mazingira yaliyotokea ilikosa umuhimu wa kuzingatiwa na kutekelezwa au kufanyiwa kazi.
Nadhani hakuna hata mTanzania moja alielalamikia kuhusu hilo kwasababu kila mtu anajua hali ilivyo kua. Kuna vitu vingine ni lazima kua wangwana kidogo 🐒
Tulijaribu kuwapiga viboko matokeo yake tukaishia kuumia sisi...Kama mtoto hasikii kwa ulimi basi apewe kiboko kumzindua
hiyo sasa ni vizuri ukiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi 🐒Hali ilikuaje?
Nini kilisababisha hali ikawa hivyo?
Je mambo mengine yamesimama pia kutokana na hali hiyo au ni katiba tu?
Kukata tamaa ni kushindwaTulijaribu kuwapiga viboko matokeo yake tukaishia kuumia sisi...
Just imagine mkuu, na haitaishia hapo, ukiendelea kukosoa utatekwa, utafirwa, utatobolewa macho na kuuwawa. Ndio ujue hawa jamaa wamedhamiria kukaa madarakani.Ukikosoa unakuwa adui wa taifa.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kujitenga na siasa, vinginevyo uwe tayari kupangiwa namna ya kuishi na wanasiasaAchaneni na hizo habari tafuteni hela na my enjoy maisha..katiba haikunyimi pombe haikunyimi kucheza haikunyimi mapenzi sasa ya nini uhangaike nayo kwani wewe ni mwanasiasa?
Inahitaji nguvu ya pekee kwa hili toto tundu, kiboko kimeshadundaKama mtoto hasikii kwa ulimi basi apewe kiboko kumzindua
Hata kwenye mpira mambo yanapokuwa magumu si kosa kurudisha mpira kwa kipa na kujipanga upya.Kukata tamaa ni kushindwa
Unataka turushe taulo?
Ukikosa hoja unakimbilia kusema hivihiyo sasa ni vizuri ukiandikia uzi mahususi jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
Kwamba mpaka sasa tunalalamika hatuji tunaka nini?Tukae pamoja tujadili na kukubaliana ni nini hasa tunataka na tuchukue action