Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

Tutakuwa na Tanzania bora, leo hatuna nchi imejaa mafisadi wanajitajirisha wao wenyewe. Tupiganie nchi yetu

field marshall1

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2017
Posts
1,553
Reaction score
3,515
Viongozi wote tuliowaamini wakishirikiana na wezi na mafisadi kama akina Rostam Aziz na wengineo wamemaliza utajiri wa nchi, hawana uchungu na nchi yetu, wakati wananchi wa kawaida wanateseka wanakosa hata jinsi ya kupata matibabu.
Hao ndiyo wanaotuua kwa sababu wanaogopa maslahi yao kuingiliwa, japo hatuingilii tunauawa kwa kuhisiwa tu.
Tumeona wananchi wanauawa kwa kupigwa risasi kama wanyama (Random extrajudicial killings)j, wahusika wakubwa wakiwa police na TISS, na huenda wanajeshi wa nchi jirani.

Tumekosa nini hadi tuuawe? Wale waliouawa tutawakumbuka. Tukifa wengine, msichoke kuendeleza mapambano hadi tuwe na haki, tusiwe tunakimbia nchi yetu nzuri inayoharibiwa na watu wachache wabinafsi kama Samia na Kikwete. TUTAWAKUMBUKA WOTE WALIOPOTEA
 
Taifa gas sijui na yule bashe wale ni wa kuchoma moto mamaee zao rostam yule wa kupiga risasi hadharani.
 
Kuna mtu kaandika mda huu boko magengeni wameshauliwa watu 6.
 
Hata waue wangapi. Watanzania haturudi nyuma
Mimi nna uchungu sana.

Yani natamani mimi peke yangu tungekuwa kumi.

Niwe maeneo tofauti tofauti kuwashikisha adabu hao wauaji.

Muhimu tukivamia vituo vya polisi tuchukue na silaha zao tujilinde dhidi ya wauaji.
 
Hpo ndipo wannazidisha hasira maana hizi damu haziwezi enda bure lazma tuzilipie
 
Back
Top Bottom