tutakuja kuuana humu.

tutakuja kuuana humu.

Kwanza nitake radhi,
me bado a Virgin Gal,
yule dog wangu alishakufaga siku nyingi tangu mwezi 5,
na michango nilikusanya,nashangaa wewe hukutoa.
Ila ktk kumuenzi dog wangu huwa napigaga ile 'Cha-Dog style' ili nijipunguzie machungu ya kufiwa na mbwa wangu.
Nimejibu swali Baba V

Mwe, nakutaka radhi Virgin Madame B,ila hiyo picha inaeleza mengi ndo maana nkataka majibu toka kwako!!
 
Last edited by a moderator:
Hvi hao woote uliowakagua kuna nini kipya?
Hebu kavute ugoro Mwenge.
Njoo Shostito, twende nikupeleke Manzese kule kuna wakaguzi wazuri.
Na vipimo vyao bomba mno!
download
 
Mwe, nakutaka radhi Virgin Madame B,ila hiyo picha inaeleza mengi ndo maana nkataka majibu toka kwako!!

Na ndio maana namuenzi kwa style ya aina yake.
Yaani alikuwa ni zaidi ya mupenzi,
Maskini Kipisi wangu...,
uko wapi dog wangu...,
Nimekumiss.
Baba V anakuulizia.
 
Last edited by a moderator:
cacico, kipi kikushtuacho??
apa mimba tu ndo analea baada ya miezi tisa utashtuka tena!

babu Asprin..mimi navaaga gwanda ata kazini bana...kama Polisi!!!

We Mentor, acha kutudanganya bana. Ofisini gani hiyo wanaruhusu kuvaa gwanda? au upo ofisi ya CDM? Mimi pekee ndo naweza kuvaa gwanda na nikaingia ofisi yoyote. Tena nimelishona mtindo kama gwanda za wanaharakati waM4C
 
Last edited by a moderator:
We Mentor, acha kutudanganya bana. Ofisini gani hiyo wanaruhusu kuvaa gwanda? au upo ofisi ya CDM? Mimi pekee ndo naweza kuvaa gwanda na nikaingia ofisi yoyote. Tena nimelishona mtindo kama gwanda za wanaharakati waM4C

babaangu ni polisi...huwa namuibiaga afu hata kumbe hamjuani....mwenyewe askari mkongwe...sivaagi tu vyeo vyake mtanishtukia.
alafuuuu...si nackia wanasema askari wote ni poli-ccm??? vp ww staili ya gwanda?
ngoja nkamuulize na baba...
 
BABUUUUUU kwenye kikao cha usuluhishi si tulikubaliana kuyasahau yaliyopita!?? sa mbona umeiweka tena hapa!??
Safi sana. Sasa hakikisha unatimiza kiapo cha ndoa yenu.

412.jpg
 
Kwa taarifa kila anapobadilisha ID au hata akibadilisha avatar taarifa tunapewa
So wewe ndo imekula kwako Erickb52 kajipange upya
na uache wivu bana kizuri kula na nduguyo kwani uliambiwa ni wa kwako tuu
Mr Rocky suala la wivu sio la kuzungumzia hapa....tutauana bureee hasa unkiendelea na mchezo wa kumvizia Amyner
Nenda kwa Yummy wako achana na mke wangu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom