tutakuja kuuana humu.

Heeee na wewe naweeeeeee lol
Ok mpeleke nikuonyeshe mi nani!
Naona Madame B unaanza kunitibua sasa hivi!

We au hujui kama mjomba wangu alikuwa ni Bluce Lee? Nichokoze kama una hamu ya kusalimia wafu kuzimu.
Hunitishi wewe,
baba'ngu mdogo ni Manyaunyau.
 
Last edited by a moderator:
We au hujui kama mjomba wangu alikuwa ni Bluce Lee? Nichokoze kama una hamu ya kusalimia wafu kuzimu.
Hunitishi wewe,
baba'ngu mdogo ni Manyaunyau.
Hahahaaaaa Bluce Lee simuogopi labda huyo baba mdogo wako Manyaunyau ndio nahisi ntagwaya lol
 
Duh ndoto inapokuwa kweli sijui inakuwaje hapo Erickb52 hivi ndoto huwa unaota ukiwa unafanya kweli au unaota ukiwa vipi Amyner kaa kimya wala usiongee hapa
Hahahaaaa na hata hivyo kwani siku hizi unamuona?
Nimembadilishia ID na hutajua ni ipi lol Mr Rocky na wakware wenzako niliona mnazidi kuja juu
Mwambie na The Boss imekula kwake Amyner atamsikia kwenye bomba tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa na hata hivyo kwani siku hizi unamuona?
Nimembadilishia ID na hutajua ni ipi lol Mr Rocky na wakware wenzako niliona mnazidi kuja juu
Mwambie na The Boss imekula kwake Amyner atamsikia kwenye bomba tu

Kwa taarifa kila anapobadilisha ID au hata akibadilisha avatar taarifa tunapewa
So wewe ndo imekula kwako Erickb52 kajipange upya
na uache wivu bana kizuri kula na nduguyo kwani uliambiwa ni wa kwako tuu
 
Last edited by a moderator:
We au hujui kama mjomba wangu alikuwa ni Bluce Lee? Nichokoze kama una hamu ya kusalimia wafu kuzimu.
Hunitishi wewe,
baba'ngu mdogo ni Manyaunyau.

We m mama Madame B, samahani naomba kukukumbusha swali la babu Asprin, mbona hujajibu!? eti bado uko naye yule dog wako!?
 
Last edited by a moderator:
download
 
We m mama Madame B, samahani naomba kukukumbusha swali la babu Asprin, mbona hujajibu!? eti bado uko naye yule dog wako!?

Kwanza nitake radhi,
me bado a Virgin Gal,
yule dog wangu alishakufaga siku nyingi tangu mwezi 5,
na michango nilikusanya,nashangaa wewe hukutoa.
Ila ktk kumuenzi dog wangu huwa napigaga ile 'Cha-Dog style' ili nijipunguzie machungu ya kufiwa na mbwa wangu.
Nimejibu swali Baba V
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom