tutakuja kuuana humu.

Stuka cacico......THINK!!
Huyu ndio Mentor?

5.jpg
ahahahahahahahahah, hubby my ribs, umemtoa wapi fide wallah?? lolest1 haya bana nimesalute!
 
Kaazi kweli kweli ila mbona unataka kuniharibia Madame B ?
Tatizo lako nini?
Wivu au?
Haya uje nae basi nitawakagua wote eeeh
Halafu sijawahi kukukagua hata mara moja lol
Uje please

Aha,
Nishajikomalia zangu na pilika za dunia,
ndio unakumbuka unikague,
nishakaguliwa na walokole.
 
Last edited by a moderator:
We danganywa na Madame B tu shauri zako. Mwenzio Amyner anakula albatar kwa Mr Rocky baada ya kukaguliwa na Erickb52. We chezeya bahati yako tu.

Masai+with+Mzungu.jpg

Mkuu Asprin sasa mbona unakuja kufunua hii siri nilikupa jana tuu ushaianika humu aise
Unataka Erickb52 apate bp na shell na capco na total na camel na stateoil na lakeoil aise Amyner tulia huko huko usije huku kuna watu wanakutafuta maneno
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Asprin sasa mbona unakuja kufunua hii siri nilikupa jana tuu ushaianika humu aise
Unataka Erickb52 apate bp na shell na capco na total na camel na stateoil na lakeoil aise Amyner tulia huko huko usije huku kuna watu wanakutafuta maneno
Asprin aliongea bila kujua kuwa Amyner ni mke wangu
Najua Mr Rocky unatamani sana kupata nafasi ya kuwa na Amyner ila hutaweza na achana na hizo ndoto mbovu
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mwanaume kamili alalamiki hadharani anaugulia tu maumivu we vipi wewe? mbona unawaaibisha nshomile wenzako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom