tutakuja kuuana humu.

tutakuja kuuana humu.

si unajua kazi ya Messi na Cristiano ni kuscore magoli....basi huko kwa jirani ndivyo ilivyokua, bwana sensa alikua anascore magoli tu...if u know what i mean!
Hahahaaaaaa lol hope nimekusoma meeen
 
babaangu ni polisi...huwa namuibiaga afu hata kumbe hamjuani....mwenyewe askari mkongwe...sivaagi tu vyeo vyake mtanishtukia.
alafuuuu...si nackia wanasema askari wote ni poli-ccm??? vp ww staili ya gwanda?
ngoja nkamuulize na baba...

Siipendi, siipendi, siipendi Nyi Nyi M. Asikudanganye mtu, CDM imepata waunga mkono wengi mno hasa polisi na wanajeshi. Mabomu tunayalipua tu kwa sababu tupo kazini. Sisi hatupayuki, tutasema kwenye sanduku na infact 2010 tulisema. Fuatilia matokeo kwenye kambi za jeshi na polisi utaniambia. Mkuu Mentor, unadhani watu wanaporusha mabomu ndo kwamba ni watiifu kwa Nyi Nyi M? Thubutu!
 
uuuuuwiii sikutaka kutia neno maana mmeshampa za utosi ila kwan huyu bishanga anaundugu na wale wanaoishi milembe eeeh kwanza king'ang'aniz yan haon hatari kugombana hata na kivuli chake haya kumbe leo povu limemjaa pomon kisa wake za watu mmh utajibeba kizee weew.
Shem e52 imiss u hope upo pouwa
 
Shixi889 karibu sana Chit chat ila kabla hujapewa uraia wa huku kwanza kabisa unatakiwa ufanyiwe upekuzi na mimi kisha uende kwa babu Asprin akakukague. Embu come this way tuanze shughuli kabla mizuka yangu haijashuka.
Jamani Madame B kama dada wa hiyari ameshajitolea kunipeleka kwenye upekuzi kwa mtu makini baada ya kukosa imani kwa Erickb52 na Asprin au ww ndo umekuwa recommended na dada wa hiari?
 
Last edited by a moderator:
Jamani Madame B kama dada wa hiyari ameshajitolea kunipeleka kwenye upekuzi kwa mtu makini baada ya kukosa imani kwa Erickb52 na Asprin au ww ndo umekuwa recommended na dada wa hiari?

Ndio mimi mpekuzi mkuu wa hili jukwaa...huyo Erickb52 ni mshika mapembe tu...embu come this way tuongee vizuri maana naona hapa wanga wengi...ukikaa vibaya tu wanakuhamishia sehemu zako za siri usoni.
 
Last edited by a moderator:
jg upo baba?? hajambo shosti wangu beibe nasty??? haya nijuze maana nilikwenda mtoni kuchota maji, kurudi ndio nasikia habari hizi za kusadikika, yalianza lini mambo haya??

Sijambo bibie sorry nimechelewa mno kurejea kwenye huu uzi beibe yu'poa, ntampa salamuzo.
 
Last edited by a moderator:
Siipendi, siipendi, siipendi Nyi Nyi M. Asikudanganye mtu, CDM imepata waunga mkono wengi mno hasa polisi na wanajeshi. Mabomu tunayalipua tu kwa sababu tupo kazini. Sisi hatupayuki, tutasema kwenye sanduku na infact 2010 tulisema. Fuatilia matokeo kwenye kambi za jeshi na polisi utaniambia. Mkuu Mentor, unadhani watu wanaporusha mabomu ndo kwamba ni watiifu kwa Nyi Nyi M? Thubutu!

Hivoeee..sisi tulihama kambini zamaniiiii tupo uraiani! i really hope unalosema ni kweli...baadhi ya mambo myafanyayo huwa yananiboa lakini ndo ivo vitu vingine ukiwa kwa nje huezi elewa ni kwa nn vinafanyika!
Eti Polisi, ni kweli nyie wote ni form four failures? maana nakumbuka mimi baba yangu alimaliza form six (sikumbuki alipata grade gan) akaendaga JKT Makutopora enzi zile za lazima then sijui ikawaje (hiyo hadithi imenitoka kidogo) walipotoka vita vya idd amin akaingia polisi...sa na yeye alifeligi nn??! lakini aliendaga kusoma BSc. Civil Engineering UDSM...si waliofeli hawaruhusiwi kuendelea na chuo, eti afande!???
 
Kwa sasa jeshini kuna wasomi wengi tu especially katika nafasi za juu. Tatizo la failures kukimbilia polisi lipo kama ambavyo lipo katika fani ya ualimu hata katika uuguzi. Vijana wengi wanajiendeleza na wengine wakishapata degree huamua kuacha kazi
 
Bishanga mwanaume kamili alalamiki hadharani anaugulia tu maumivu we vipi wewe? mbona unawaaibisha nshomile wenzako?

nisamehe mkuu,nitafuata ushauri wako kwa kuwamaliza wabaya wangu kisailensa,we subiri tu naelekea nyamisati nipande ngalawa ya kwenda mafia kama sijashusha mtu mshipa.
 
Shixi889 karibu sana Chit chat ila kabla hujapewa uraia wa huku kwanza kabisa unatakiwa ufanyiwe upekuzi na mimi kisha uende kwa babu Asprin akakukague. Embu come this way tuanze shughuli kabla mizuka yangu haijashuka.
na we umeanza eh? wenzio wako kwenye eiaravii shauri lako uige kupupu kwa tembo.
 
Bishanga, ulikuta shuka kitandani zimeloa na mamaa hayupo nini? Basi usiende mbali, we chungulia uvunguni mwa kitanda huenda wamejificha humo baada ya kusikia unafungua mlango. Achana na uji, wamwagie tindi kali na roho yako itapona, Amen!
Mkereketwa,una akili sana wewe,kula five :shetani:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom