tutakuja kuuana humu.

tutakuja kuuana humu.

Swahiba wangu klorokwini hana ushirikiano kabisa kwenye ukaguzi. Si unamwona alivyo mvivu?

attachment.php
basi tafuta mwenye taaluma kama yako! mi siji ng'o, kukuhelp! THINK hubby STUKA!
 
Japokua nimeambiwa nkae kimya nsubiri ukaguzi ila uzalendo sasa umenishinda naomba kutangaza kabsa sina imani na wanaonifanyia ukaguzi Erickb52 pamoja na Asprin.
Heheheheeeee Shixi889 unatafuta balaaa eeeeh
Yan ukijifanya huna imani na mimi na Asprin itakula kwako....!
Hebu waulize akina Madame B cacico na Bishanga nani humu ni MODERATOR?
Yan tulia kimya hata kama hutaki kukaguliwa vumilia kukaguliwa tu uwe na amani otherwise nakulamba Ban faster
 
Last edited by a moderator:

Mwambie kabisa tukishakagua tunamnadi kwa vijana wanawowa kabisa. We mwache aringe tu, akija kosa wachumba kama Catherine shauri yake.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
sasa huo ukaguzi wa lazima kwani upo??? mbona kazi??
Kaazi kweli kweli ila mbona unataka kuniharibia Madame B ?
Tatizo lako nini?
Wivu au?
Haya uje nae basi nitawakagua wote eeeh
Halafu sijawahi kukukagua hata mara moja lol
Uje please
 
Last edited by a moderator:
Heheheheeeee Shixi889 unatafuta balaaa eeeeh
Yan ukijifanya huna imani na mimi na Asprin itakula kwako....!
Hebu waulize akina Madame B cacico na Bishanga nani humu ni MODERATOR?
Yan tulia kimya hata kama hutaki kukaguliwa vumilia kukaguliwa tu uwe na amani otherwise nakulamba Ban faster

Jamaniii,
Ataogopa bidada.
Hapo sina usemi,
njoo tu ukaguliwe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom