tutakuja kuuana humu.

tutakuja kuuana humu.

hahaha! B52 unataka nionekane mkosanishi? wewe fanya kila namna The secretary awe wako, yaani fanya kwa vitendo alafu wao watajuana wenyewe!
Ok sawa dada AshaDii nitajitahidi aisee!
Ila tunapendana siunajua nimempenda sana na Bishanga anamtesa sana nimeona nimpe mambo adimu
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky suala la wivu sio la kuzungumzia hapa....tutauana bureee hasa unkiendelea na mchezo wa kumvizia Amyner
Nenda kwa Yummy wako achana na mke wangu
Hebu niachieni Yummy wangu bana....Mnataka kushindana ba babu kama Petroli na Bia?

attachment
 
Last edited by a moderator:
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.

Your pregnant wife loves me.
 
Sasa wewe wivu wa nini wakati uko na The secretary na Catherine Amyner mwache apumue kidogo bana Yummy yuko kila siku wala hana maneno
Mi nawapenda wote sawasawa kabisa sina tofauti katika kiwango cha mapenzi
Halafu Amyner ni wangu wa milele ndio maana sijawahi kumwacha hata dakika moja wala kuzungumzia kumwacha na wala hujawahi kusikia kashfa juu yake...hata Asprin hajabahatika kumkagua so yule ndio mwanamke pekee ninayempenda sana
Achana na hawa akina Remmy BADILI TABIA Madame B cacico na wenzao yule ndo mama lao meeeeeeeen!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaaa!!!!ukaguzi unatumia vigezo gani tena jamani?embu niwekeni wazi ili nijue tu msije kuchakachua maana...???
Shixi889 karibu sana Chit chat ila kabla hujapewa uraia wa huku kwanza kabisa unatakiwa ufanyiwe upekuzi na mimi kisha uende kwa babu Asprin akakukague. Embu come this way tuanze shughuli kabla mizuka yangu haijashuka.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, ulikuta shuka kitandani zimeloa na mamaa hayupo nini? Basi usiende mbali, we chungulia uvunguni mwa kitanda huenda wamejificha humo baada ya kusikia unafungua mlango. Achana na uji, wamwagie tindi kali na roho yako itapona, Amen!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom