Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

Hamna upande wa kukaa, upande mmoja wamejaa majizi, upande mwingine wamejaa wanafiki na waoga ukikaa upande wao unakuja kutekwa na watu wawili katikati yao na wako zaidi ya watu 50 ila watatawanyika wote kwa woga alaf wanawasha data kupiga mikwara mtandaoni

Zamu yao imefika
 
Back
Top Bottom