Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

In which category is cannabis sativum is between narcotic drugs and pyschotropic substances???.
Guys!!!!! Cannabis sativum has tetra hydrocannabinol as its active ingredient?????
What is it??????
Guys. Munaotetea bangi acheni
 
bange nani anasema haina madhara, acheni kudanganya watu , bange mbaya sana ina madhara makubwa tu ya kisaikolojia kama kuchanganyikiwa
 
Muonyeni sana Dully Sykes; huchukua mzigo wake Mikocheni vichochoroni akiwa na kigali tinted!!!
 
Yule wa kupumuliwa ni mwendo wa bangi, viroba na gongo....hatari tupu
 
Back
Top Bottom