Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Bangi kama majani sioni tatizo lake ila bangi zile wanazochanganya na vitu vingine hzo ndio tatizo bangi kama majani tu aina tatizo ukilinganisha na sigara na ilo wengi na wataalamu hawataki kulisema wapo watu wengi wanavuta bange ni si vichaa au machizi fresh na kama ingekuwa hvyo leo jamaica ndo ingekuwa nchi inayoogoza kwa machizi duniani

Nakupa mtiani tu nenda kanunue leso nyeupe mbili then tafuta mtu anayevuta bangi pia nunua na siga piga pafu moja zito la sigara then chukua leso pulizia ule moshi wa sigara kwenye ile leso fanya hvyo hvyo kwa bangi pia then angalia zile leso mbili moja ya moshi wa sigara na nyingine ya moshi wa bangi hapo utapata jibu kipi kina hatari kwa kuangalia tu
unavuta ee?
 
mbona ukivuta una sizi kama si madawa nin yani bange inaenda idanganya akili kabisa yan nakujiona wewe ni special sana kw kwel i hate bange
Kwahiyo na pombe ni madawa ya kulevyaa....haya tuanze kutaja eatu walevi Tanzania
 
bange nani anasema haina madhara, acheni kudanganya watu , bange mbaya sana ina madhara makubwa tu ya kisaikolojia kama kuchanganyikiwa
Hata maisha magumu, stress, madeni, kuku na mayai ya kisasa, nguruwe, pombe, dawa za hospitalini zote zinaua in one or another...kila kitu kina madhara Mkuu...bangi km bangi is the natural herb yenye Madhara machache saana hasa kwa moderate smockers ukilinganisha sigara, goso, shisha au pombe, tatzo ni njia ya utumiaji hasa wanaochangaya na sigara, unga au wale wavutaji wahuni..au vichwa panzi maana bangi ni zaid ya akiri ya tatu, uelekeapo ndo huko huko so haihitaji kukurupuka!!

kumbuka too much of anything is.....
 
Back
Top Bottom