Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam
Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema ni vioo vya jamii(wasanii). Tukiwataja huenda kwa namna Moja ama nyingine wakaona aibu na kuacha na pia itatufanya tusisituke sana kama ilivotokea kwa wasanii ambao wamekwisha julikana. Wasanii hawa wakitajwa hapa siku wakija kujulikana kama wanatumia kweli poda na bangi basi jamii itawachukulia poa maana watakuwa wameonywa wakashindwa kubadili tabia.
NB: usitaje wasanii ambao tayar wameshajulikana kama vile Ray C, Nando, Chind Benz,Daz Baba,FEROUZ et. Taja tu wale ambao wapo wanatumia ila madhara bado hayajaonekana kwa ilivotokea kwa wasanii tajwa.
Lengo ni kuonya na kuelimisha wasanii maana inaonekana wanaimba nyimbo za kuelimisha ili wapate pesa ila wanashindwa wao bnafsi kutumia nyimbo zao za jumbe Kali na nzuri kuzifuata na kuzitii.
Nawasilisha
Karibuni.
Rais 2020.