Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

bange nani anasema haina madhara, acheni kudanganya watu , bange mbaya sana ina madhara makubwa tu ya kisaikolojia kama kuchanganyikiwa
Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....
 
Ni bora kukaa kimya kuliko kuishutumu bangi. Wengi wetu hatuijui historia kamili ya ngiba, babiloni wameteka fikra zetu. Tuwe na wepesi wa kusoma vitabu na tafiti zilizofanyika kuhusiana na ngiba.
 
Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....

wanajiita wanaharakati,ukiuliza harakati zenyewe ni kuhusu nn hawajui,ila tu ni harakati,bhangi mbaya sana
 
Kuna kijiwe pale Kinondoni Manyanya ambapo daladala za Posta husimama kupakia abiria wa kwenda posta, unafuata barabara kama unaenda Soko la Mtambani nyumba ya 2 au 3 kushoto, pale kuna uwezekano mkubwa sana dawa za kulevya zinauzwa.
 
Ofisi za chadema ??
 
Huko mbali sana, pale Magogoni jirani na Ikulu wanauza kila kitu kuanzia Bangi, Cocaine, Gongo, Viroba na kuna huduma za madada na makaka poa mchana kweupe. Inaelekea John akiwa ofisini lazima anapata kaharufu ka msuba.
 
Dah.. Imemtesa na kumharibia future mshikaji wangu... Alikuwa yuko njema kichwani... Toka kwa bibi Rwakatare ....alianza mdogomdogo akiiga kwa kutoka kwa bro wake...sasa hivi hata kuoga kwake ni shida....anatembea na gitaa tu kupiga kwenyewe Hajui....tuliokuwa washkaji tukimuona tunamkimbia... maana stori zake ni za kupigania uhuru tu... sijawahi kujua ni uhuru wa wapi....
 
Bangi haina tatizo ni watu wengi wanaojitambua wanavuta na maisha yao yanasonga.
Ishu hapa tujadili NGADA
 
Back
Top Bottom