Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutaje majina ya wasanii wanaobwia Ngada na Bangi

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Rais2020, Jan 11, 2017.

 1. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,237
  Likes Received: 5,128
  Trophy Points: 280
  Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
  Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam

  Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema ni vioo vya jamii(wasanii). Tukiwataja huenda kwa namna Moja ama nyingine wakaona aibu na kuacha na pia itatufanya tusisituke sana kama ilivotokea kwa wasanii ambao wamekwisha julikana. Wasanii hawa wakitajwa hapa siku wakija kujulikana kama wanatumia kweli poda na bangi basi jamii itawachukulia poa maana watakuwa wameonywa wakashindwa kubadili tabia.

  NB: usitaje wasanii ambao tayar wameshajulikana kama vile Ray C, Nando, Chind Benz,Daz Baba,FEROUZ et. Taja tu wale ambao wapo wanatumia ila madhara bado hayajaonekana kwa ilivotokea kwa wasanii tajwa.
  Lengo ni kuonya na kuelimisha wasanii maana inaonekana wanaimba nyimbo za kuelimisha ili wapate pesa ila wanashindwa wao bnafsi kutumia nyimbo zao za jumbe Kali na nzuri kuzifuata na kuzitii.
  Nawasilisha

  Karibuni.

  Rais 2020.
   
 2. famicho

  famicho JF-Expert Member

  #21
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 1,450
  Likes Received: 1,361
  Trophy Points: 280
  Jecha anakula ile kitu ya kikojani
   
 3. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #22
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,237
  Likes Received: 5,128
  Trophy Points: 280
  In which category is cannabis sativum is between narcotic drugs and pyschotropic substances???.
  Guys!!!!! Cannabis sativum has tetra hydrocannabinol as its active ingredient?????
  What is it??????
  Guys. Munaotetea bangi acheni
   
 4. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #23
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,055
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  bangi nibangue....uzii hu nione kama uchochezi!!nipe kitu cha arusha[mix oldojoshambu+kuweit+matejo] afu iwe dry isiwe mix na nyota
   
 5. m

  mtoto wa maskini JF-Expert Member

  #24
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 28, 2013
  Messages: 1,155
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  bange nani anasema haina madhara, acheni kudanganya watu , bange mbaya sana ina madhara makubwa tu ya kisaikolojia kama kuchanganyikiwa
   
 6. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #25
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,237
  Likes Received: 5,128
  Trophy Points: 280
  Wanajifanya kutetea kitu ambacho ni hatari
   
 7. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #26
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 1,253
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  itakuwa ni mwanamziki
   
 8. py thon

  py thon JF-Expert Member

  #27
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 11, 2016
  Messages: 1,739
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Mbona hujataja pombe

  Wakati pombe na sigara ni hatari kuliko bangi
   
 9. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #28
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  Ni muwako wa macho yake tu ndio unapotosha watu.
   
 10. accused

  accused JF-Expert Member

  #29
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 7, 2015
  Messages: 2,247
  Likes Received: 2,051
  Trophy Points: 280
 11. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #30
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  Yule jamaa hata ukimkata kidole ufukie inaota bange.
   
 12. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #31
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 2,975
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
   
 13. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #32
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  .....bange ndio inamvuta yeye.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #33
  Jan 11, 2017
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Muonyeni sana Dully Sykes; huchukua mzigo wake Mikocheni vichochoroni akiwa na kigali tinted!!!
   
 15. Kaboom

  Kaboom JF-Expert Member

  #34
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 8,554
  Likes Received: 7,019
  Trophy Points: 280
 16. bhachu

  bhachu JF-Expert Member

  #35
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 29, 2015
  Messages: 2,975
  Likes Received: 1,996
  Trophy Points: 280
  Yule wa kupumuliwa ni mwendo wa bangi, viroba na gongo....hatari tupu
   
 17. Rais2020

  Rais2020 JF-Expert Member

  #36
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 14, 2016
  Messages: 3,237
  Likes Received: 5,128
  Trophy Points: 280
  Kashasikia na siku yakimpata asianze kuomba msaada wa kupelekwa sober
   
 18. FYATU

  FYATU JF-Expert Member

  #37
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 1,354
  Trophy Points: 280
  Kabisa mkuu, mtu kama Chege au JCB akikuangalia tu wewe ndio unajihisi umekuwa bange, kwa hiyo kuwataja humu ni kuwafitini tu.
   
 19. M

  Makena Member

  #38
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 24
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  Piriton nazo ni nomaa zaidi ya bangi
   
 20. mjumbe wa bwana

  mjumbe wa bwana JF-Expert Member

  #39
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 19, 2016
  Messages: 1,253
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  adi akaitungia nyimbo
   
 21. h

  hapakazit JF-Expert Member

  #40
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 8, 2015
  Messages: 651
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 80
  Wote
   
Loading...