Wanawake wengi wasomi na wanaojiweza kiuchumi

umukagame

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
667
Heshima kwenu wakuu,
Mimi humu ni msomaji tu kwa muda sasaSijui na utu uzima au ni vipi
Katika pita pita zangu nimegundua wanawake warembo/wasomi/wenye pesa wanateswa sana na mapenzi kuliko wanawake wa kawaida wasio na maisha
Shida ni Nini, vijana mnawaonaje au mnawachukiaje Hawa wanawake wa title nilizosema hapo juu

NB/ Tuendelee kufanya kazi
Miss you guys

Sent from my Pixel 6 using JamiiForums mobile app
 
Miss you guys
emoji12.png
Miss you too 😬
 
Uliowataja wengi wanachagua chagua wale ambao walishapendwa na wengine, mwisho wa siku ni kilio tu
 
Back
Top Bottom