Wanawake wa hivi dawa yao ni ipi na kwanini wapo katika mazingira yetu

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Wakuu natumaini mnaendelea salama kabisa.

Kwa kweli kuna wanawake ukiwanao unaweza kumuua kabisa au ukamtelekeza moja kwa moja.

Yapata na wanawake kadha wa kadha ila naona kabisa hawa hawana akili isipo kuwa wahisia na sijui wanayachukuliaje maisha.

Unakuta mwanamke ni purukushani tuu na ukimpotezea ni lawama pasipo kuisha yani ni makelele haswa mpaka unasema sasa huyu ni kiumbe wa aina gani .

Hebu fikiria kabisa.

1: Mwanamke haombi hela , ukijiongeza ukampa anakujibu hovyo sana utasikia sasa na wewe vihela gani hivi , hapo hapo anajifanya hataki dushe ila ukimpiga dushe unaona anaenjoy ila katikati ya mchezo anakukata stimu ili akutangaze huna nguvu za kiume

2: Mwanamke usipo mpa hela ni lawama tuu na akiomba utasikia inamaana hujui mwanamke ni matunzo, hapo anakutajia mpaka wadogo zake na huko nyumbani kwao

3: Mwanamke anakutafuta anajua kabisa upo busy tena juu ya nguzo huko mvua inanyesha uko busy kukatia watu umeme ila gafla unakuta kakuandikia gazeti endelea na mwanamke wako mpya uliye mpata niache na maisha yangu

4: Mwanamke haeleweki kabisa ukimwambia hiki anafanya hichi, akikosea anataka umsahihishe ukisahihisha anaona unamfatilia sana anabaki kukujibu hovyo, ukimpotezea anakuona humpendi kabisa.

5: Mwanamke anajua kabisa unaumwa ,unamadeni na umeishiwa , ila yeye anatoka asubuhi lakini bado akitudi utasikia amka hapo kitandani unipe hela ya matumizi usiniektie unaumwa hapo anaona kabisa umetoka kuanguka juu ya nguzo ukikata umeme

6: Mwanamke anajua kabisa hawa ni wadogo zako ila anainama inama mbele zao huku kajifunga kikanga kimebana haswa

7: Unakuta mwanamke hataki kukutafuta anataka umtafute na ukimtafuta anaona unamsumbua

8: Unakuta mwanamke wako kabisa unadhurura nae mjini ila ukimwacha step tuu kupiga story na masela gafla unamuona kule kabananishwa na namba anatoa . Ukimuuliza anakujibu acha wivu

9: Mwanamke akili zake kwenye maendeleo ya mwanaume zipo wapi. Huna hela anakushauri uza funiture baadhi za ndani au kakipande kaardhi ulicho nunua kwa jasho

10: Unakuta mwanamke anabena mimba anakusukumizia ni yako, ila akizaa mtoto anakuwa wake hataki hata kusikia. Ukiamua umuachie mtoto ndiyo hivyo ana choma mtoto moto aliye mbeba miezi tisa tumboni na kumzaa kwa uchungu akidai mwanaume kamtelekeza .

Je, ndugu zangu mwanamke ni nani je, dawa yao ni ipi tofauti na kuwatanguliza huko kwenda kutuandalia makao na kwanini wanatuzunguka katika mazingira yetu
 
Wajinga huwa mnakufa na kuzaliwa yaani zama hizi bado unateswa na wanawake wakati hata buku unapata !?

Wewe haupo serious na furaha yako . Unambebelezaje Mtu ambaye hakusaidii chochote zaidi ya huo uchi wake mchafu plus mikosi ebu kuweni serious .
Ndiyo hata mimi na jiuliza sana, hawana msaada wowote kwa mwanaume na wanatesa akili zetu why . Kwanini wanazunguka mazingira yetu wasijifiche huko
 
Ndiyo hata mimi na jiuliza sana, hawana msaada wowote kwa mwanaume na wanatesa akili zetu why . Kwanini wanazunguka mazingira yetu wasijifiche huko
Ukiona unaanza kumuelewa mwanamke basi unakaribia kufa.
Unatakiwa uzingatie haya
  • Tafuta hela kwa maendeleo yako na uweke akiba ya kuishi vizuri uzeeni.
  • Usitafute hela ili kumfurahisha mwanamke utaumia
  • Mchukulia mwanamke km sehemu ndogo sana ya maisha yako, usishindane naye wala kutumia muda wako mwingi kwa mwanamke. Wote walioshindana na mwanamke waliishia kuua, kujiua, kuwa na msongo wa mawazo na wengi kuwa jela hata kupata ulemavu wa kudumu.
Mwanamke hana msaada wowote na maisha yako. Yeye amekuja kwako kufanya biashara ya ngono tu kwako.
- Wekeza hela kwenye mali na watoto na siyo kwa mwanamke. Mfano. Km mwanamke akikuomba 40,000 kwa matumizi yake. Wewe mpe 20,000 na 20,000 nyingine nunua hata simu ya batani itakusaidia. Wekeza kwenye mali na watoto
N.B
Wanawake ndiyo mama zetu, dada zetu, mademu zetu na wake zetu kwahiyo tuishi nao kwa akili
 
Wajinga huwa mnakufa na kuzaliwa yaani zama hizi bado unateswa na wanawake wakati hata buku unapata !?

Wewe haupo serious na furaha yako . Unambebelezaje Mtu ambaye hakusaidii chochote zaidi ya huo uchi wake mchafu plus mikosi ebu kuweni serious .
Nashangaa kabisa.
 
Ukiona unaanza kumuelewa mwanamke basi unakaribia kufa.
Unatakiwa uzingatie haya
  • Tafuta hela kwa maendeleo yako na uweke akiba ya kuishi vizuri uzeeni.
  • Usitafute hela ili kumfurahisha mwanamke utaumia
  • Mchukulia mwanamke km sehemu ndogo sana ya maisha yako, usishindane naye wala kutumia muda wako mwingi kwa mwanamke. Wote walioshindana na mwanamke waliishia kuua, kujiua, kuwa na msongo wa mawazo na wengi kuwa jela hata kupata ulemavu wa kudumu.
Mwanamke hana msaada wowote na maisha yako. Yeye amekuja kwako kufanya biashara ya ngono tu kwako.
- Wekeza hela kwenye mali na watoto na siyo kwa mwanamke. Mfano. Km mwanamke akikuomba 40,000 kwa matumizi yake. Wewe mpe 20,000 na 20,000 nyingine nunua hata simu ya batani itakusaidia. Wekeza kwenye mali na watoto
N.B
Wanawake ndiyo mama zetu, dada zetu, mademu zetu na wake zetu kwahiyo tuishi nao kwa akili
Sawa mkuu
 
Unapomzungumzia mwanamke, waweke katika makundio yao, mke , mchumba, mchepuko, Changudoa.. Harafu jitathimini wewe uko na nani?. Mwisho huyo ulie nae ulimpata katika mazingira gani na wewe ulikuwa mkweli Kwa kiasi gani.
Hata mke ni mwanamke

Changudoa ni mwanamke

Mchumba ni mwanamke inategemea na jinsia iliyopo kwa namna yake

Mchepuko ni mwanamke inategemea na jinsia iliyopo kwa namna yake.

Nb. Mada imetaja wanawake in general sasa toa maoni yako in general acha kuleta ujuaji na ubaguzi wako wa makundi ili kuwagawa watu
 
Ishi nao kwa akili ukijua kuwapuuza hutakaa na pressure kamwe mana kuna vitu umeviolozesha ni kweli ndy wafanyavyo ni kama mtu hasie na akili sasa kama unaweza bishana na mtu hasie na akili akakuumiza kichwa sawa.
 
Kama wewe ni mwanaume nadhani umesha nielewa mana kuna code zingine za wanaume huu upande wa wanawake hawatakiwi kuzijua kabisa hata iwaje cz wakizijua watatumaliza upesi na kirahisi sana
mimi ni mwanaume. Najua unamaainisha code inayoitwa kukaa kimya/kula buyu/mikausho. si ndio hizi mkuu jjs2017 ?
 
mimi ni mwanaume. Najua unamaainisha code inayoitwa kukaa kimya/kula buyu/mikausho. si ndio hizi mkuu jjs2017 ?
Sasa kwanini unauliza tena, wewe kwani ukiambiwa kumpotezea mwanamke si ndiyo kiivyo alafu unabaki una zoom matendo yake polepole huku maneno yake unajiweka pamba masikioni sio
 
Sasa kwanini unauliza tena, wewe kwani ukiambiwa kumpotezea mwanamke si ndiyo kiivyo alafu unabaki una zoom matendo yake polepole huku maneno yake unajiweka pamba masikioni sio
nimekupata mkuu jjs2017 hivi unaona ni kwasababu gani ukiwapotezea hawa viumbe lazima waumie?
 
Katika kitu ambacho mimi sitaki hata kikae kwenye akili yangu ni wanawake yani sitaki kabisa, japo utelezi wao nataka ila sitaki kabisa.

Kijana ishi na mwanamke kama chombo cha starehe kikishimdwa kukustarehesha tafuta utaratibu mwingine napia jifunze kuwapuuza sana utaishi kwa amani
 
Back
Top Bottom