Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

instagramer

Senior Member
May 7, 2024
189
423
Habari wanabodi...

Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.

Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa bora Zaidi.

Mara zote katika michango yao, wabunge hawa wawili wamekua wakipinga sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa wananchi wake.

Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.

Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe kuna short cut ya Maisha inawezekana.

TUWAKEMEE MARA MOJA.

Nawasilisha.
 
Kwanza ni aibu kwa bunge kuwa na wabunge wasio na elimu. Hawana weledi wa kuongelea masuala ya kitaalamu kwa kuwa wao wenyewe hawana ujuzi huo. Wanapewa nafasi ya kuongea bungeni kwa kwa kuwa ni wawakilishi wa wananchi wa majimbo yao na walipata kuchaguliwa kwa utajiri wao na si elimu
 
Hakuna substitution ya ukweli, wasomi wanazingua na elimu zao ni lazima waambiwe ukweli,

Hata mie sijasoma pia ila Kuna mambo wataalamu wanafanya unajiuliza hata huko vyuoni alipata elimu ipi kutusaidia sisi ngumbaro

Kuna profess aliwahi kusema kuwa magufuli alimuokota jalalani!!!, imagine political divident zilimfanya aone udsm ni jalala, na bado wasomi wakakaa kimya.
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa wengi wa wasomi wetu hawakidhi matumaini/mategemeo ya wananchi katika nyanja zote.
Acha ukweli usemwe ili kuponya taifa.

Kama Mleta mada ni miongoni mwao, basi jitafakari uchukue hatua.
 
Nakunaliana na hoja yako, haiwezekani wasomi wote wakadeliver sawa.... Watakaofeli, basi ni kuwaadress hao particularly.... Lakini Hawa jamaa wanaponda wasomi kiujumla.... Hiyo ndio hoja yangu... Na angalia nilivyomalizia mwishoni
 
Hakuna substitution ya ukweli, wasomi wanazingua na elimu zao ni lazima waambiwe ukweli,
Hata mie sijasoma pia ila Kuna mambo wataalamu wanafanya unajiuliza hata huko vyuoni alipata elimu ipi kutusaidia sisi ngumbaro
Kuna profess aliwahi kusema kuwa magufuli alimuokota jalalani!!!, imagine political divident zilimfanya aone udsm ni jalala, na bado wasomi wakakaa kimya.
Fatilia vyema hoja za Hawa jamaa.... Utagundua wanawaponda wasomi na usomi kwa ujumla kwa kua wao wametoboa kwa njia zao bila kusoma.... Fikiria nje ya box
 
Kwanza ni aibu kwa bunge kuwa na wabunge wasio na elimu. Hawana weledi wa kuongelea masuala ya kitaalamu kwa kuwa wao wenyewe hawana ujuzi huo. Wanapewa nafasi ya kuongea bungeni kwa kwa kuwa ni wawakilishi wa wananchi wa majimbo yao na walipata kuchaguliwa kwa utajiri wao na si elimu
Ni aibu zaidi kuwa na wasomi ambao hawana impact kwa jamii na wana behave just like laymans.
Miaka 20 plus ya kukaa darasani kutafuta degree inatakiwa iende sawia na matokeo chanya ya ujuzi uliopatikana,
Msom anapelekwa puta na wanasiasa la saba, unaona ni sawa?
 
Fatilia vyema hoja za Hawa jamaa.... Utagundua wanawaponda wasomi na usomi kwa ujumla kwa kua wao wametoboa kwa njia zao bila kusoma.... Fikiria nje ya box
Hoja zao ni kali sana kwa wasomi ku absorb, na hoja za msukuma zinaambatana na kejeli kwa ajili ya kuwa yeye ameshatoboa!!,
Lakini haiondoi ukweli kuwa wasomi wetu hawana clue kwenye kuondoka chamgamoto zinazotukabili.
 
Habari wanaBodi...

Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.

Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha Bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa Bora Zaidi.

Mara zote katika michango yao, wabunge Hawa wawili wamekua wakipinga Sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa Wananchi wake.

Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa Kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la Saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.

Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe Kuna short cut ya Maisha inawezekana.

TUWAKEMEE MARA MOJA.

Nawasilisha.
Nyerere aliendesha nchi kwa mafanikio makubwa sana bila kuwa na wasomi wa kutosha kwanini tumerudi nyuma baada ya kuwa na hao unaoita wasomi wa kutosha?
Viwanda vilikufa
Mashirika yalikufa na mambo mengine ya hovyo
Kwasababu huna akili za kutosha na huo usomi haujakusaidia chochote utasema tumepiga hatua kubwa lakini kiuhalisia kama kweli usomi ungekuwa umeplay part yake tungekuwa mbele mara mia kuliko pale tulipo sasa
Lakini kwasababu huna unachokijua pamoja na usomi wako wote hapa tulipo wewe uliye msomi unaona ni sawa sawa kabisa
Wenye akili wanaona nyie wasomi wa vyeti mnapamba, unapambana nini sasa
Tuambie mlifaulu kwenye jambo gani zaidi ya makaratasi tu
Umeme hovyo
maji hovyo
Barabara hovyo
Elimu hovyo
Hospitali hovyo
Uongozi hovyo
Taja mambo yanayokupambanueni kwamba nyie ni wasomi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
So kifupi Mkuu unaona ni Bora bunge lijaze Darasa la Saba wote ambao ndio washiriki kwenye utunzi wa Sheria na kuendesha nchi? Nauliza sababu nawe waona wasomi hawana maana
 
Hoja zao ni kali sana kwa wasomi ku absorb, na hoja za msukuma zinaambatana na kejeli kwa ajili ya kuwa yeye ameshatoboa!!,
Lakini haiondoi ukweli kuwa wasomi wetu hawana clue kwenye kuondoka chamgamoto zinazotukabili.
Sijaona hoja Kali waliyotoa zaidi ya vioja.... Hakuna hoja hata moja ya kujenga nchi hapo.... Au ishu ya matiti kudondoka ndio umeona hoja Mkuu???

Nina wasiwasi watu wengi hawajui kazi ya bunge ni nini.... Sema tu na katiba yetu ya hovyo Sana.... Mbunge ilipaswa kwa Sasa aanzie form six angalau awe amepata mwanga kidogo.
 
Habari wanaBodi...

Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.

Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha Bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa Bora Zaidi.

Mara zote katika michango yao, wabunge Hawa wawili wamekua wakipinga Sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa Wananchi wake.

Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa Kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la Saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.

Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe Kuna short cut ya Maisha inawezekana.

TUWAKEMEE MARA MOJA.

Nawasilisha.
Anzi JF hapa si umeshaona mwenyewe kwenye comment. Nyingine sio za kujibu.
 
Shida ni kukataa ukweli. Ni kweli sasa kama mtu anajiita profesa, PhD holder halafu hata kutatua matatizo ya wizara au kitengo alichopewa hawezi, au ana mawazo sawa na ya yule ambaye hakusoma utasemaje? Mimi naona Kishimba kasema kweli
 
Habari wanaBodi...

Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia.

Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha Bali ni kuwakosoa ili kujenga Taifa Bora Zaidi.

Mara zote katika michango yao, wabunge Hawa wawili wamekua wakipinga Sana ajenda ya usomi na wasomi wenyewe. Kwa haraka haraka wanaamini kabisa wasomi wetu ambao wapo katika sekta mbalimbali hakuna wanalolifanya kwa Kutumia elimu yao. Yaani kimsingi wanaamini mambo yataenda tu kienyeji bila elimu. Kifupi hawaamini kama elimu Ina msaada wowote katika kukuza chumi za nchi na ustawi wa Wananchi wake.

Hawa watu ukiwafatilia kiundani ni watu waliofanikiwa Kiuchumi kwa njia ambazo wao wanaamini hazikuhitaji elimu, sababu wao wameishia la Saba. Hivyo wanaamini mtu yoyote sio lazima asome ili afanikiwe, kisa tu wao hawajasoma na wametoboa.

Tusipowadhibiti au kupinga hizi kauli zao za kibaguzi dhidi ya wasomi wetu, yamkini watoto au wajukuu zetu huko mbeleni wakipata hizi Hansard hawataona umuhimu wa kusoma, wataamini kama huyu "Joshua" alitoboa(ga) bila kusoma basi kumbe Kuna short cut ya Maisha inawezekana.

TUWAKEMEE MARA MOJA.

Nawasilisha.
Nyerere aliendesha nchi kwa mafanikio makubwa sana bila kuwa na wasomi wa kutosha kwanini tumerudi nyuma baada ya kuwa na hao unaoita wasomi wa kutosha?
Viwanda vilikufa
Mashirika yalikufa na mambo mengine ya hovyo
Kwasababu huna akili za kutosha na huo usomi haujakusaidia chochote utasema tumepiga hatua kubwa lakini kiuhalisia kama kweli usomi ungekuwa umeplay part yake tungekuwa mbele mara mia kuliko pale tulipo sasa
Lakini kwasababu huna unachokijua pamoja na usomi wako wote hapa tulipo wewe uliye msomi unaona ni sawa sawa kabisa
Wenye akili wanaona siyo sawa nyie wasomi wa vyeti mnapambana, unapambana nini sasa
Tuambie mlifaulu kwenye jambo gani zaidi ya makaratasi tu
Umeme hovyo
maji hovyo
Barabara hovyo
Elimu hovyo
Hospitali hovyo
Uongozi hovyo
Taja mambo yanayokupambanueni kwamba nyie ni wasomi ili mueleweke hakuna hata kimoja badala yake watanzania tunadharaulika na hii nchi kidunia ni shamba la bibi tu kwa watu waliosoma huko kwenye nchi zao wanakuja hapa kuvuna

Ni kweli mifumo yetu ya elimu Ina kasoro lakini si kigezo Cha kuzuia watu wasisome alafu kuwa na utajiri Haina uhusiano na kusoma
 
Back
Top Bottom