magnificent
Senior Member
- Jun 25, 2011
- 110
- 16
We kichaa tu, hata km inasikika nchi nzima, haisaidii kitu. niwapuuzi tu ndio wanaoweza kuisikiliza redio hii. Halafu, mmeshashindwa mnatapatapa tu.Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.
Hatugombani ng'ooooo kwani sisi wengine familia zetu zimechanganyika waislamu na wakristo tena wakatoliki na tunapendana kishenzi.
Mimi ninachofurahi ni kuwa wote tunakula kitimotto
Hapa kuna makundi mawili ambayo tofaoti zao ni kama ilivyo mbingu na ardhi. kuna kundi ambalo hutalisikia hata siku moja wakipiga majungu dhidi ya kundi la pili, wao hawana muda huo, wako busy na kufikiria mambo muhimu ya kijamii, yaani kujenga vyuo vikuu, mahospitali nk. wakizungumzia siasa hawalalamiki kama wenzao wa kundi la pili, bali hutoa hoja zenye dira na zinazojadilika. kundi la pili wao kazi yao kubwa ni kulalamika na kutafuta mchawi wa shida zao, hawana hospitali hata moja japo kiuwezo wana pesa, hata serikali ikiwapa shule au Chuo kikuu, bado ni shida tu, hata wao wenyewe hawaziamini hizo shule zao. Lakini nabii Issa alipoulizwa dini safi ni ipi alieleza kuwa ni ile yenye matendo mema, Yanayozungumzwa na mashehe na maaskofu wetu yatupasa kuyasikiza maana yanatusaidia kuchagua ipi dini njema? Ni rahisi sana! angalia MATENDO yao kama ni ya manufaa kwa jamii au ni ya kuleta vurugu katika jamii.Kwa taarifa RADIO IMAAN inasikika nchi nzima kwa sasa, hivyo inawasikilizaji wengi. Pia wewe u-mtu wa ajabu, maaskofu wakisema, wakitukanä wakichochea ni sawa LAKINI MASHEHE WAKISEMA NI KOSA. Nami nasema maaskofu mnatupeleka kubaya. Msichanganye siasa na dini.
Kama kuna watanzania wanaosikiliza hiyo redio basi hawazidi mia tano. Wengi wao wapo tandale, manzese, tandika, temeke, gongolamboto na mbagala.
Kweli kabisa na mm ni mmoja wa wahanga wa ujinga wa hawa watu. Walichoma baa yangu pale mwembebasha.Hv nchi hii Waislamu nao watu>>>> siku zote wao wanaonewa tuuuuuuuuuu sijui wanaona raha kulalamika kama mademu..Waache kuvaa kanzu na yeboyebo na kucheza bao...Sio Radio tu pia kuna magazeti ya Al Nuur na al huda kwa majungu ni nouma.
Kuna kitu kimoja nataka niikumbushe jamii kuwa, kwa Wakatoliki, dini, elimu na afya ni vitu vinavyopikwa katika chungu kimoja (education is part of evangelization for Catholics). Ndio maana wakijenga kanisa, pembeni yake lazima wajenge shule na kituo cha afya. Naomba hao wenzetu waige hili kwani ni jambo jema.Wadau, jana katika kubadilisha station ya radio yangu nilikutana na mjadala uliokuwa ukiendeshwa redio imani, hii ni redio ya kiislamu iliyoko mjini Morogoro. Ingawa si kawaida yangu kuisikiliza lakini nilishawishika kuwasikiliza kutokana na uzito wa mambo yaliyokuwa yakijadiliwa.
Mjadala ulihusu tamko walilotoa kuhusu maaskofu, walivilaumu vyombo vya habari – magazeti particularly mwananchi na magazeti mengine kama nipashe, Tz Daima etc kwamba yamepotosha tamko lao pamoja na kuwa waliwapa tamko hilo kimaandishi. Nilijiuliza inakuwaje magazeti yote yanakosea kitu kilekile...