Tusipokemea, Redio Imaan itatuvuruga

Status
Not open for further replies.
Si wako wengi ingieni mitaani na maandamano kupinga kukumbukwa Mwalimu kama mnaweza .Wanafiki eti mama wa Taifa yuko wapi ni sehemu gani kwenye uislam wanako mthamini mwanamke hata kwenye ibada inawekwa nyuma now mnatka Bibi Titi siyo ?
 

Safi sana..
Lau wanaJF wote wangelikuwa kama wewe basi tungekuwa mbali sana...

Nimesisitiza "wanaJF" wote kwa kutambua kuwa JF ndo mwangaza wa mabadiliko na mfano wa kuigwa kote kwa wapenda maendeleo/mageuzi ya dhati..kwa manufaa ya nchi yetu/bara letu
 
Wanadai uhuru uliletwa na waislamu wakaamua kumzoa nyerere huko kijijini ili aje asimamie kwa vile alionekana amesomasoma baadae akawageuka.

kwanini hao walioleta uhuru hawakuweza kusimamia inaonyesha waislamu hawakuwa na uezo wowote na swala la wao kuleta uhuru mnashindwa kuelezea uizur ni kwamba waliudhuria kwenye kwenye kampeni za kudai uhuru na pia Nyerere aliwatumia kwenye maandamano akijua wanapenda sana.
 


hili ndo tatizo la kukaa vijiweni na kuvaa magauni huku mkinywa kahawa isiyokuwa na sukari
mkiishiwa na umbea wa vijiweni mnabaki kufikiria kwa kutumia makalio baada ya akili kuchoka na umbea.
 
Jaman msiandike comments ndefu sana!mwisho wa cku zinabore kusoma!
 
Wanadai uhuru uliletwa na waislamu wakaamua kumzoa nyerere huko kijijini ili aje asimamie kwa vile alionekana amesomasoma baadae akawageuka.

kwanini hao walioleta uhuru hawakuweza kusimamia inaonyesha waislamu hawakuwa na uezo wowote na swala la wao kuleta uhuru mnashindwa kuelezea uizur ni kwamba waliudhuria kwenye kwenye kampeni za kudai uhuru na pia Nyerere aliwatumia kwenye maandamano akijua wanapenda sana.
 
Jamani wanajf mbona hivo,unajua ukianza kumkosoa mwenzako kumbuka ukubaliani na fikra zako,lakin ukijikubali hautakuwa na muda mchafu wa kujilinganisha na wa2,topik ni swala Baba wa taifa au redio aman?achen unafki na chuki mbona mnawaenzi ndugu zenu makaburini ili la nyerere ndo tatizo?
 
Ni kweli hao jamaa wa radio iman wanachosema ni kweli kabisa.
Nyerere akuleta uhuru Tanzania
 
Asante kwa kutufungua macho
 
Baba wa Taifa gani? TANGANYIKA,TANZANIA ama ZANZIBAR?

Mimi nawashanga nyie mnaojiita wazanzibar,dogshit ni nyie wenyewe,maana mnasema nyerere hajawasaidia nawashangaa sana,hamuoni ni kwa namna gani mnavyofaidika na Muungano,idadi kubwa ya vijana wa kizanzibar wapo bara wanatafuta maisha ukiringanisha na vijana wa bara waliopo zanzibar.
Mnabaki kulala mika tu,kwanza nyie ni :-
1.wavivu,hamfanyi kazi,wanafiki wakubwa,msio na fadhira,N.K,Naomba niishie hapo
Wazanzibar mwogopeni Mungu msiongee maneno ya kashfa zid ya baba wa taifa,laana haita waacha itawala
[/QUOTE]

hakuna lolote alilosaidia huku zanzibar zaidi ya ku2letea wakina John Okelo kuchinja wazanzibari wasiokuwa na hatia kwa kgezo cha rangi zao..
 
Wakati wa kupigania uhuru waislamu walitumika kama MGAMBO, yaani kutangulizwa mbele kwa kuwa ni waongeaji halafu watendaji wakafuata kwa nyuma kufanya kazi zenye tija kama kwenda UNO
 
Hiyo redio ifungwe mara moja. Yakitokea yale ya Rwanda itabidi wenye redio wapelekwe ICC
 
Ni kweli hao jamaa wa radio iman wanachosema ni kweli kabisa.
Nyerere akuleta uhuru Tanzania
We manywele hujui historia, uhuru ni wa Tanganyika na sio Tanzania. Kilaza mwenzenu ndio anawajaza ujinga kuwa kuna uhuru wa Tanzania. Wakristo hawakuhitaji sana uhuru kwa vile walikuwa wamewadhibiti wakoloni vilivyo, mfano ni majimaji songea na Mkwawa Iringa. Waislamu ndio waliochukuliwa sana kwenda utumwani kwa sababu ya uvivu wa kufikiri na kupenda ya bure.
Ndio maana wakati umefika tugawane hii nchi ili tuheshimiane kwa utendaji kazi na sio porojo za kuchepusha historia. Hata kule Zenji maustaadh waliogopa vita wakamuachia Okello peke yake lakini hawamtaji katika historia kwa vile sio muislam
 
Ni kweli hao jamaa wa radio iman wanachosema ni kweli kabisa.
Nyerere akuleta uhuru Tanzania
Kwa iyo Mr.Green guard inabidi husiadhimishe sherehe ya kumbukumbu ya baba wa taifa bali anzisheni siku yenu maalumu ya kumuenzi mama wa taifa (Bibi Titi Mohamed) kama hao jamaa wa Radio Iman wanavyoshauri.
 
Hiyo redio ifungwe mara moja. Yakitokea yale ya Rwanda itabidi wenye redio wapelekwe ICC

kumbe we huifaham vzur hii radio eeh? Inawafuasi nchi nzima ambao si lelemama,,na sasa kaeni tayari kuangalia Iman Tv hivi karibuni... Mara kibao waziri wa habari amejitahidi kutishia kuifungia radio hii lakini ameshindwa
 
Hawajakosea kabisa. Fatilia historia, utaujua ukweli wa mambo.

Mzee unaamini kabisa kuwa wakristo wao walikuwa wanafaidi wakati wa wakoloni waliokuwa wanateseka na ukoloni ni waislmu tu? Unaamini kuwa wakristo walikuwa wanakutana na wakoloni makanisani jumapili wanagongeana wakati waislamu wakifanyishwa kazi katika masihamba, wakinyimwa haki zao za msingi ambazo wakristo walikuwa wanazifaidi vizuri tu.
 
Wanadai uhuru uliletwa na waislamu wakaamua kumzoa nyerere huko kijijini ili aje asimamie kwa vile alionekana amesomasoma baadae akawageuka.

Mkuu, ningekuwepo ningewauliza, ni kijiji gani walikoenda kumchukua Mwalimu? Butiama, Pugu au Magomeni?, na wao kama kweli walikuwa na uwezo huo walishindwaje kujiongoza. Mbona walikuwepo wajanja akina mzee Sykes, Fundikira nk. Kwa nini hawakumteua mmoja wao awe ndiye rais wa TAA na Baadaye TANU. Na je, Mzee tajiri na mfadhili mkuu kipindi kile Mzee John Rupia na pia Oscar Kambona, walibadilisha dini baada ya uhuru na kuwa wakristo? Kwa sababu ndio wanachama waanzilishi wa TAA na baadaye TANU. Tatizo watu ni wavivu wa kuelimika na kupata ufahamu wa historia badala yake wamekalia udini tu. Utawadumaza wasione mbali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…