Tusio na nyumba tukutane hapa

Tusio na nyumba tukutane hapa

Je una nyumba?

  • Ndio nina nyumba

    Votes: 23 29.1%
  • Sina nyumba

    Votes: 27 34.2%
  • Kikubwa uzima

    Votes: 29 36.7%

  • Total voters
    79
Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura.

Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba ,
maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana.

tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka mgomo ili watu punguzie Kodi, au tumchangie mmoja wetu apate wa kwake 😂😂🦅.

I mean no malice to nobody
View attachment 3420444
Ninayo ipo mkoa Kuna muda natamani niibebe kuileta Huku dar es salaam Tanzania.

Natania tuu sina nyumba,sina kazi, sina pesa, sina garii sina Kila kitu ni mtu wa kuonewaa HURUMAAA

Natamani hata ajitokeze mtu anipe 10k ya haraka haraka nimudu maisha ya Leo 🤕 🤕
 
Mwamposa
816F0523-690D-4CF7-811B-93C1CC9F474A.jpeg

“Pokeaa Gari
Pokeaaa Nyumba
Huu ni mwaka wa Mafanikio
Say Amen”
 
Mimi siwezi kuzi hesabu, maana hata tuki sema tugawane pasu pasu bado zina zidi idadi yetu.

Kuhusu kupata sipendi nyumba nyingi, nataka 2-3, ambazo uki sema nyumba ni nyumba kweli.
(kama una elewa lakini).
Nimekuelewa dogo,aisee mie ndoto yangu ni kujenga au basi,
Hivi haya mawazo ya kimasikini mnayatolea wapi?

Unajenga ili iweje na kwa faida ya nani?

Wote tukimiliki nyumba nani atapanga?

Tuacheni kuyaogopa maisha bhana 😂😂😂

NB: Niliyemsikia akisema haya maneno sasahivi amesimamisha boma 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom