Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,369
- 96,653
- Thread starter
- #21
hongera mkuu, ila tafadhali usi vimbe sana ili wasi kuroge😂Hapa JF wenye mijengo mikali tupo wachache sana
hongera mkuu, ila tafadhali usi vimbe sana ili wasi kuroge😂Hapa JF wenye mijengo mikali tupo wachache sana
Ndio wapi huko mabimba?Chililabombwe
Mapambano yaendelee, naamini kwenye juhudi zuri laja.Kwahiyo Rais unaonaje hili swala
Ewaa, sasa hapa ndio pa kuuza cement kwa 10k, nondo 2k mkuu🦅Ina maana kwenye huu uzi sisi wenye maduka ya hardware ndipo pa kukaa kwa kuwa wateja wetu wa baadae wapo hapa.
Huko ndio pa nauli elfu 6 kwenda na kurudi ehh😂🦅Mtafute boss kwezi ana matangazo yake mjini akukatie kiwanja cha 300k ila ujipange kiakiali maana ni msituni😅
Mjini Dar es salaamNdio wapi huko mabimba?
Hapa ndio ume nieleza vizuri, daslam sija wahi fika kabisa je ni pazuri?Mjini Dar es salaam
Pazuri sana ,haswa hapa tandale...Hapa ndio ume nieleza vizuri, daslam sija wahi fika kabisa je ni pazuri?
Dah kama mbinguni, Sasa wewe mbona huna ukarimu?Pazuri sana ,haswa hapa tandale...
1.Mazingira Safi
2.Chakula Cha kukonga nyoyo
3.Watu wake wakarimu
4.Wanatengeneza pesa
5. Kuna mabinti warembo Kama malaika na vifaa vyao vya kukalia vilaiiiiiiniiiiii
6.Ngoja niishie hapa nikauze kahawa...nitarejea kuelezea sifa za tandale kedekede.
Ninao kabisaaaaDah kama mbinguni, Sasa wewe mbona huna ukarimu?
Sasa mbona huja nialika ndugu yako nije nione kwa machoNinao kabisaaaa
Kikubwa uzima tu Raisi, kwa nini nihangaike kujenga nyumba wakati peponi tumeshajengewa nyumba na watoto wazuri 70 😁😁I still repeat
No man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary.
Razorblade, dosho12, Edo kissy, Selikavu au nyie mna mijengo?
Ume kosea ni 72 😂😂Kikubwa uzima tu Raisi, kwa nini nihangaike kujenga nyumba wakati peponi tumeshajengewa nyumba na watoto wazuri 70 😁😁
Ila tuseme inshallahKikubwa uzima tu Raisi, kwa nini nihangaike kujenga nyumba wakati peponi tumeshajengewa nyumba na watoto wazuri 70 😁😁
InshaallahIla tuseme inshallah
Kujenga ni uoga wa maisha mkuu 😂I still repeat
No man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary.
Razorblade, dosho12, Edo kissy, Selikavu au nyie mna mijengo?