Aniva
JF-Expert Member
- Jan 25, 2018
- 717
- 798
Nimejikuta nawaza tu, kwanini tusiwe na jukwaa la watu tusiokuwa na kazi rasmi za kufanya.
Wengine tumetumbuliwa hivi karibuni, wengine wamemaliza vyuo bado wanatafuta na wengine wana kazi lakini siyo ya maana ili mladi tuu siku ziende.
Hata mwenye job vacancies anaweza akatupata humu tukasaidiana maana hali hii siyo kabisa.
Vyuma vimekaza kila kona. Tujipigishe zetu story humu tujuzane ilikuwaje ukajikuta huna kazi.
Karibuni wadau.