Tushare game za android

Tushare game za android

Kwa wapenda game za magari
1.Racing in car(hatari sana)
2.City Car Driving
Hizi zote nzuri sana ni 3D afu zina real logic ya car driving unatumia steering wheel.Gear kama kawa D and R
 
Mm nina hizi kwa simu yangu... Criminal Case, Pes 2012, clash of clan... Subway Surf, Asphalt 8
 
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim Lucky Patcher 5.9.8.apk free download cracked on google play HiAppHere Market
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita road kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapatikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote


enjoy
Hans kama hili d day frontline commando nashndwa kwenda mbele coz nashndwa kununua baadh ya vtu nfanyaje wananpeleka playstore vtu vnauzwa kwa dollar nfanyaje
 
Hans kama hili d day frontline commando nashndwa kwenda mbele coz nashndwa kununua baadh ya vtu nfanyaje wananpeleka playstore vtu vnauzwa kwa dollar nfanyaje
Soma maelezo ya Lucky Patcher vizuri kaka... U will be able to get those for free..
 
Maze king

Sokoban

Hizo game inabidi kichwa chako kikae vizuri na hesabu uijue.
 
sydney60 Mkuu Let's enjoy this favorite.... Frontline Commando D Day....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-02-11-59-06.png
    Screenshot_2016-02-02-11-59-06.png
    340.6 KB · Views: 74
  • Screenshot_2016-02-02-11-59-01.png
    Screenshot_2016-02-02-11-59-01.png
    386.7 KB · Views: 75
Ww ndo mwenzangu QuizUp bonge la game
Haha hilo game linataka utulivu wa hali ya juu... Huwa nacheza need for Speed huku nakula lunch lakini QuizUp natulia tulii.... Halafu napenda... U can challenge ur friend au unaweza cheza na mtu yeyote in da world mwenye hiyo game.. Then mnaweza mkawa mna chat huku mnacheza na kushare knowledge.... Mkuu nakupm
 
Back
Top Bottom