Tushare game za android

Tushare game za android

ankha...dah m cm yang ina 512ram next wik natak nchukue yenye 1gb ram cjui ztakubali

Mkuu jitaidi simu iwe 16 GB Internal kwenda juu na 2 GB RAM.

Hapo unaweza kucheza magem makubwa.
 
Mkuu jitaidi simu iwe 16 GB Internal kwenda juu na 2 GB RAM.

Hapo unaweza kucheza magem makubwa.

duh....je yenye 8gb internal na 1GB si afadhal kdogo au?!
 
Mkuu jitaidi simu iwe 16 GB Internal kwenda juu na 2 GB RAM.
Hapo unaweza kucheza magem makubwa.

duh....je yenye 8gb internal na 1GB si afadhal kdogo au?!
Yah...hiyo inatosha kidgo...
Ila isiwe tecno au mediatek yyte.
 
Mimi mpenzi wa Racing
... Nipeni game ambazo hazizidi MB200
 
Napenda Gunship battle

Nimeona unalisifia nikaingia app store nikashangaa kwa iphone ina mb 32 nikawa na mashaka kama litakuwa zuri maana mimi game chini ya mb 500 uwa si download naona litakuwa sio zuri ajabu nimelidownload liko poa nimelicheza mpaka simu imeisha chaj.
Mimi nina iphone nina frontline d-day lina almost gb 1 hivi zuri sana pia nina asphalt 8 nalo kali kwa wapenda racing, kuna gangster squad liko kama gta flan.
 
asante....bt ungezitaja zote ingekua vzur ili na sisi tuwez kuienjoy

7)Bangbang
8)wrestling revolution
9)unroll me
10)real track park 3D
11)punch boxing
12)pool billiards
13)Extreme car driving
14)army sniper
15)world of tanks
To be cont...
Nazilizo tajwa na wadau wengine...
 
morden combat 5 na alsphat 8 airborn zote znasupport device ya 1 gb ram. hizi game znanipa raha sana
 
7)Bangbang
8)wrestling revolution
9)unroll me
10)real track park 3D
11)punch boxing
12)pool billiards
13)Extreme car driving
14)army sniper
15)world of tanks
To be cont...
Nazilizo tajwa na wadau wengine...

thanxxx
 
.Traffic racer
.Fruit ninja
.Temple run 2
 
NB: pitie uzi unao sema tumia bure chochote kinachouzwa kwenye games.
Ita enjoy game nyingi sana
 
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim http://m.hiapphere.com/apk-lucky-patcher
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita road kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapatikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote


enjoy
 
traffic racerna RACING FEVERyapo sawa tu. Ubunifu ziro..
 
mimi natumia samsung galaxy grand niliiroot na nikafanya partition ya memory card kuongeza space ya simu na sasa naenjoy games kubwa kama alizotaja jamaa hapo juu
 
mimi natumia samsung galaxy grand niliiroot na nikafanya partition ya memory card kuongeza space ya simu na sasa naenjoy games kubwa kama alizotaja jamaa hapo juu

Mimi huwa Naogopa Sana Ku Root SIMU.. Unaweza nishawish Mkuu hata Kidogo Faida zake

Mimi Napenda A Fast Phone Je root inasaidia kwenye jambo hili
 
Mimi huwa Naogopa Sana Ku Root SIMU.. Unaweza nishawish Mkuu hata Kidogo Faida zake

Mimi Napenda A Fast Phone Je root inasaidia kwenye jambo hili

Mimi niliuwa simu yangu huawei g610. Yan sasa hivi nikisikia neno ROOT linanipa ukakasi sana.
 
Back
Top Bottom