Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
Simu gani unatumia mi natumia lg g2..
natumia tecno p9 mini mkuu
Simu gani unatumia mi natumia lg g2..
nipo case ya tatu,.energy ndio tatizoHapana boss sijawahi hack ila na enjoy nikicheza bila hacking....vp upo case ya ngapi??
mkuu infinit flight simulator inanizingua ku land ila nimehack nina ndege zote na viwanja vyote
Mkuu umetumia njia gan kuhack?
Nalo linauzwa wakuu
Nimepata kalikizo boss nikaamua nikatumie effectively kwenye games na apps nyingine hili ni fifa15
hili ni fts15
hili ni sim city
hili ndo top eleven
hili ni frontline commando
hili ndo infinity flight sim![]()
![]()
![]()
yap infinit flight inauzwa ila pakua kupitia aptoide ...thn kuhusu kuihack nilitumia lucky patcher nikitulia ntakutumia screen short uone ni rahisi mno mkuu naiman haitakushinda
Mkuu hapo mbna simple tu endelea kutafuta ushahidi ufill blanks zilizobaki hapo utampata kiurahisi....hiyo sio ngumu kuna case number 6 aise siyo kabisaCriminal case... Yaani hapa ndo pananishinda kusolve hii case.. I can't find murder aisee...
Mkuu hapo mbna simple tu endelea kutafuta ushahidi ufill blanks zilizobaki hapo utampata kiurahisi....hiyo sio ngumu kuna case number 6 aise siyo kabisa
Yap!!!!!hiyo case ako niliimaliza mwezi wa 6 i think