Tushare game za android

Tushare game za android

Fifa 16
Modern combat 5
Trucksimulation 16
N.o.v.a 3
Need for speed most wanted
Real racing 3
Asphalt 8 airborne
GTA sanandreas

truck simulation 16 ni ya kununua mkuu nawezaje pata ya free mi ni mpenzi wa truck simulation
 
install aptoide thn search hiyo gem itakuja bure mkuu.....

kwa wale wa truck simulator ya pc .....kwnye android kina gem n hatar inaitwa grand truck simukator n hatar yan na wapenda soka first touch 2015 n hatari tuzijaribu
 
Mmetaja games nyingi ila game moja na nzuri hamjalitaja.

Tafuta game la Max payne. Ninzur la Action ila linahitaj utulivu kukamilisha mishion zako

Mimi games nilizonazo kwenye simu ni maxpyne,need for speed most wanted hili lipo cracked, gta sa na battle gunship yaan full kuenjoy
 
Who is the killer? evidence kwa wote zipo... Urefu futi sita ni watatu... And bangage.. Pamoja na jino wote hawana... Hahaha.. Hili game nimelipenda

Mimi niko case no 2 hao wawili wananizingua kuwapataaa...!!
 
Nimepata kalikizo boss nikaamua nikatumie effectively kwenye games na apps nyingine hili ni fifa15
fab7f470ae74b8d800b10a974dc6210b.jpg hili ni pes12
e3eadb5ffd308132d5d34ea8f6994a29.jpg
hili ni fts15
187fa08c0e4744f4633b6c7270ef9cbc.jpg
hili ni sim city
2b167f96c9ecf5704ac3aec1e7f40f37.jpg
hili ndo top eleven
8b83f85bed809c9ac5b3a8a4e1c8d2b0.jpg
hili ni frontline commando
d6bcb0190595516e2fc60cfb62e75752.jpg
hili ndo infinity flight sim
7efbf07eb588768016a6e7f1f5941431.jpg
239cf37beb3760f1922bdde07f7b48ea.jpg
Mkuu iyo sim city ndo iko vp...design kama nmeipenda flan iv.....
 
Mkuu iyo sim city ndo iko vp...design kama nmeipenda flan iv.....
Hiyo unakuwa mayor wa jiji then unalitengeza unaliwekea kila huduma na raia then unakuwa una eneo la viwanda unakuwa unazalisha bidhaa mbalimbl unauza,unatoza kodi pia
 
Hii game imekuwa complicated aiseee........ #Criminalcase hapa mpaka niandikiwe report na friend or nisubiri for 3 days iwe unlocked... Game zuri sanaaa KAFA.cOm
 
Attachments

  • 1449588505358.jpg
    1449588505358.jpg
    70.3 KB · Views: 139
Last edited by a moderator:
Hii game imekuwa complicated aiseee........ #Criminalcase hapa mpaka niandikiwe report na friend or nisubiri for 3 days iwe unlocked... Game zuri sanaaa KAFA.cOm

jiunge na facebook km kuna rafiki mnacheza wote hyo game inakuwa simple sana kwako mm nachexa na npo facebook ukipenda tuwe marafiki tutumiane request

ila best game kwangu ni SUBWAY SURF
 
Last edited by a moderator:
Hii game imekuwa complicated aiseee........ #Criminalcase hapa mpaka niandikiwe report na friend or nisubiri for 3 days iwe unlocked... Game zuri sanaaa KAFA.cOm
Unawait mkuu mimi huwa nasubiri.nalipenda hili game coz linanipa muda wa kufanya shughuli nyingine za kawaida.mimi nikiwa nasuburia hizosiku tatu huwa najaza nyota kwenye kesi iliyopita.hizi nyota zitanisaidia kununua 🍔 na 🍊
 
Last edited by a moderator:
jiunge na facebook km kuna rafiki mnacheza wote hyo game inakuwa simple sana kwako mm nachexa na npo facebook ukipenda tuwe marafiki tutumiane request

ila best game kwangu ni SUBWAY SURF
Hiyo report unajaza simple ka una partner wengi fb.mm nnao 14 simple kuwapata
 
Back
Top Bottom