warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
Mimi nilikua addicted na subway surfers lakini sasa hivi linaniboa maana lina stack sana sijui kwanini.
Nimejaribu kuapdate lakini bado tatizo liko pale pale.
Game gan nzur nyingine unazo
Mimi nilikua addicted na subway surfers lakini sasa hivi linaniboa maana lina stack sana sijui kwanini.
Nimejaribu kuapdate lakini bado tatizo liko pale pale.
JeiKei,
Hivi hakuna aliyeiona hiyo orodha ya majina yanayotajwa atumwagie humu kwenye ukumbi wetu wa ukweli na uwazi?
Mbona majina yanafichwafichwa?
Game gan nzur nyingine unazo
Cand crush saga (ninalo tu naweza kulicheza mara 1 kwa mwezi)
Bike racing
Knock Down.
Wow!Asante sana ligati!
Fighting tiger
Nime download game nyingi ila hii fighting tiger kibok aseeh graphics kali sana, vp huna nyingine kali unayoijua, maana nimejifungia na baridi hii
NJIA YA KUPATA GOLD NA FEDHA BURE NDANI YA GAME KWA AJILI YA KUNUNULIA SILAHA NAKADHALIKA
1 download LUCKY PATCHER na install kwenye sim http://m.hiapphere.com/apk-lucky-patcher
2 .fungua na gusa gem kwa muda zitatokea option za hio game chagua MODIFY THE APK
3.baada ya kuchagua hapo itakuja option nyingine na chagua REBUILD INAPP AND LVL EMULATION na ita road kwa muda kama dakika tatu hivi subiri usi cancel
4.mweshoni itakuletea option nyingine bonyeza go to file
5.itakuonesha app ulio itengeneza mahali iliko kwenye sd card
6.futa gemu ulilo liingiza hapo mwanzo lenye vitu vinavyouzwa kwa kutumia phone setting sio lucky patcher setting(unistall)
7. nenda kwenye memory iliko hifadhiwa modified app ulioiona kwenye stage (5 )na install
8.fungua gem na nenda sehemu ambayo ukitaka kununua fedha au dhahabu kwa kutumia fedha yako (us dollars) panapatikana
9.utakuta fedha zipo vile vile zinauzwa bonyeza fedha unazozitaka
10.itatokea message yenye nembo ya lucky patcher usichague chochote we bonya yes bas na utakuta fedha zimeingia za kununulia gari au chochote
enjoy
Kwa wanaopenda kuchangamsha akili, download QuizUp! Then check me out tuongeze maujuzi
hy ni kwa ajili ya kuhack games au?!
hebu tutajiane game za android kwa wapenzi wa games kama mimi. Game ninazozijua mimi ni
temple run 1&2
speed racing
zombie road killer
hebu na zako
Nah, hilo ni game mkuu!