Tushare game za android

Tushare game za android

Nili root ikawa inazima nakuwa hakuna unachokifanya, kupeleka kwa fundi fundi akaimalizia kabisa. Ipo tu now kama pambo lkn chanzo ni kutaka ku root. So jiandae kwa yote mawili simu kupona au kufa.

Ukiiwasha ina vibrate?
 
Wrestling reolution 3d
Shadow fighter
Na. Pocket heroes.
 
8 ball pool, ni the best online game hasa kama waujua mchezo wa pool table
 
Hebu tutajiane game za android kwa wapenzi wa games kama mimi. Game ninazozijua mimi ni
Temple run 1&2
Speed Racing
Zombie Road killer
Hebu na zako

wale wenye hd smartphones nina app ambayo ina updated hd games zote for free, mfano GTA san andreas, na nyingine zoote zinazouzwa kule playstore
 
Taja hiyo app

inaitwa Muzhiwan, idownload kule aptoid, hakikisha ukiiseach kwenye Google download ile kwa kwanza kabisa kutokea, coz zingine ni za CHINESE na hakuna option ya kubadili lugha
 
Kwa wale wapenda racing games, sahau kuhusu Asphalt 8 Airborne, tafuta na ku'download Need For Speed: Most Wanted. Utaipenda, coz unlike A8: Airborne, NFS:MW ni realistic zaidi plus kuna zile Police car chases, Checkpoints racing, Speed Runs, Most Wanted yenyewe, n.k.

Na graphics zake ni kali zaidi ya zile za kwenye A8: Airborne.
 
Hii NFS: MW ilikuwaga inauzwa kipindi flani Play Store $ 2 tu, ila ukitaka kuipata free unaweza kuipata kickass.to ukadownload initial files za ukubwa wa Mb kama 17 hivi. After hapo ukishafungua ndo itabidi udownload remaining files za game lote, ukubwa ka 1.9Gb.
 
Me ninyo cracked ya need for speed imelipiwa kila kitu ukubwa wake ni 1.95 gb na ukianza kucheza inafika 2gb hivi
 
Mkuu uko wa ngapi kwenye list ya most wanted?. Mi ndo juzi flani hivi nimefika wa 3 after kum'defeat Godzllr
 
Nfs:mw #3
 
Attachments

  • 1429908327737.jpg
    1429908327737.jpg
    51.7 KB · Views: 230
Hebu tutajiane game za android kwa wapenzi wa games kama mimi. Game ninazozijua mimi ni
Temple run 1&2
Speed Racing
Zombie Road killer
Hebu na zako

Candy crush soda
Farm heroes saga
Candy crush saga
Can u escape
 
msaada Wa game nzuri za kike kike,aisee nimecheki magemu yenu naona mabunduki bunduki!!okay,mie napendelea game kama zile Sims3 ila kwenye android either siioni au nikiiona basi inauzwa..msaada wakuu

Try candy crush saga na candy crush soda
 
msaada Wa game nzuri za kike kike,aisee nimecheki magemu yenu naona mabunduki bunduki!!okay,mie napendelea game kama zile Sims3 ila kwenye android either siioni au nikiiona basi inauzwa..msaada wakuu

AHahahah umetisha
 
Mimi nilikua addicted na subway surfers lakini sasa hivi linaniboa maana lina stack sana sijui kwanini.
Nimejaribu kuapdate lakini bado tatizo liko pale pale.
 
Back
Top Bottom