Si game zote zinachakachulika kwa njia hiyo. Zinazo chakachulika ni zile zenye inpurchase. Yaani kila kitu kipo ndani ya game husika mfano gold, doller nk.Hans kama hili d day frontline commando nashndwa kwenda mbele coz nashndwa kununua baadh ya vtu nfanyaje wananpeleka playstore vtu vnauzwa kwa dollar nfanyaje
poa nmekusomaSi game zote zinachakachulika kwa njia hiyo. Zinazo chakachulika ni zile zenye inpurchase. Yaani kila kitu kipo ndani ya game husika mfano gold, doller nk.
Hlo frontline linakubali hacking kwa lucky patched?
Ulitumia mini kuhackIlikubali lakini Sio kwa Lucky patcher...
Habari za jioni tukiachana na into the badlands kuna action series gani ipo mtaaniHuwezi tu ukasema best game ujatajiwa maana yapo mengi na kila mtu ana vitu vyake anavyovipenda, shibisha maelezo yako kwanza
cheki banshee japo ya zamani kidogo ila inaendeleaHabari za jioni tukiachana na into the badlands kuna action series gani ipo mtaani
Hehehe banshee ni shidaa sio ya kuangalia na familiacheki banshee japo ya zamani kidogo ila inaendelea
Me nimeshajaribu kwa 1mobile unadownload hadi mwisho lakini at the end kwenye kuinstall huwezi!1mobile market....
Kijana unapenda sana mikasi weweeeeeHehehe banshee ni shidaa sio ya kuangalia na familia
Achana na hiyo ngosha sasa tumia website inaitwa play.mob.org ipo googleMe nimeshajaribu kwa 1mobile unadownload hadi mwisho lakini at the end kwenye kuinstall huwezi!
Karibia paid app zote kwa 1mobile nilishindwa sijui kama ni simu yangu tu!
#passing error
Hehehehe ujana maji moto kakaKijana unapenda sana mikasi weweeeee