Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu

fantastic philip

Senior Member
Oct 17, 2015
194
680
Kuna mtu anahoji,
Kwanini nimekazana na Azam tu na sio kampuni zingine...

Hoja yangu ipo very clear,
Kwamba Azam tunamshika hadi aondoe kemikali 2 ambazo kitaalam hazishauliwi kuchangaywa kwa wakati mmoja,

Kemikali hizo zipo mbili yani Asobic Acid na Benzoate hizi kemikali zikiwekwa kwa pamoja ndio chanzo kikuu cha atakaye kunywa lazima apate
Saratani ya damu na sio lazima iwe leo, saratani huenda na kukua polepole....
Pumu
Shida ya kifua
Kikohozi sugu
Kupoteza hamu ya kula
Yeye akaondoa moja wapo ya kemikali moja wapo tunaamini madhara yatakuwepo ila sio kama ambavyo amefanya hapa kwenye juice hii ya Embe hii ni HATARI watanzania watakna kama tunachuki ila hapa ni kati ya kutetea afya za watoto au tukubali Azam andele kuzia nje juice za Embe bora huku ndani kizazi cha watanzania wakiumia.

Pili tupo very clear,
Kwamba Azam anatumia Lebo ambayo ina maandishi yanasomeka Juice Halisi ya Matunda, ila ukisoma viungo (ingredients) zilizomo hakuna Puree/pure juice ya Embe na badala yake Azam ametumia upotoshaji wa maneno ambapo anatumia pulp sawa na Jam ya matunda kiasi kwamba jam haisabiki kama matunda halisi bali husabika kama standard ya flovour ya matunda ila ubora wake unakuwa kwamba zile kamba kamba kama za matunda husalia (cubs) kutumia matunda Halisi kwa Ufahamu wa watanzania watakuwa wanakunywa hata chupa 7 wakijiamini ni Embe kweli kumbe hakuna lolote, ni kemikali tupu kama juice zingine..

Mwisho ni pendekezo na wala sio lazima
Amezidisha CMC ambayo hii ni chumvi hutumika kuzidisha uzito wa juice uzito huu sio mzuri hasa kwenye eneo la tumbo ila hii ni uwamzi wake sababu chumvi hii inatia ukakasi kwenye koo.

Sasa hapa ndipo naposimama,
Waziri wa afya yupo
RAISI SAMIA YUPO
WAZIRI MKUU YUPO

Hawa nao watakuwa wanaliona hili, japo sio kwamba ni watumiaji hata wao wanajua kuwa sio salama kama tukilifumbia macho, ndio maana tukaenda kusoma ili kusimamia haki na Ukweli, za ndugu zetu watanzania.

Soma pia > Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…
 
Chunguzeni na ile juice yake ya energy ukinywa usingizi unakata na ameandika maelezo ya kunywa ni mwisho moja. Isije ikawa watu wanakunywa sumu hatari zinazoharibu mifumo yao ya mwili taratibu
Hiyo ndio kazi ya energy. Hata redbull hupaswi kunywa zaidi ya moja ila wakati.imeingia wabongo wakawa wanaona ni ufahari kunywa wakiwa viwanja
 
Kuna mtu anahoji,
Kwanini nimekazana na Azam tu na sio kampuni zingine...

Hoja yangu ipo very clear,
Kwamba Azam tunamshika hadi aondoe kemikali 2 ambazo kitaalam hazishauliwi kuchangaywa kwa wakati mmoja,

Kemikali hizo zipo mbili yani Asobic Acid na Benzoate hizi kemikali zikiwekwa kwa pamoja ndio chanzo kikuu cha atakaye kunywa lazima apate

Yeye akaondoa moja wapo ya kemikali moja wapo tunaamini madhara yatakuwepo ila sio kama ambavyo amefanya hapa kwenye juice hii ya Embe hii ni HATARI watanzania watakna kama tunachuki ila hapa ni kati ya kutetea afya za watoto au tukubali Azam andele kuzia nje juice za Embe bora huku ndani kizazi cha watanzania wakiumia.

Pili tupo very clear,
Kwamba Azam anatumia Lebo ambayo ina maandishi yanasomeka Juice Halisi ya Matunda, ila ukisoma viungo (ingredients) zilizomo hakuna Puree/pure juice ya Embe na badala yake Azam ametumia upotoshaji wa maneno ambapo anatumia pulp sawa na Jam ya matunda kiasi kwamba jam haisabiki kama matunda halisi bali husabika kama standard ya flovour ya matunda ila ubora wake unakuwa kwamba zile kamba kamba kama za matunda husalia (cubs) kutumia matunda Halisi kwa Ufahamu wa watanzania watakuwa wanakunywa hata chupa 7 wakijiamini ni Embe kweli kumbe hakuna lolote, ni kemikali tupu kama juice zingine..

Mwisho ni pendekezo na wala sio lazima
Amezidisha CMC ambayo hii ni chumvi hutumika kuzidisha uzito wa juice uzito huu sio mzuri hasa kwenye eneo la tumbo ila hii ni uwamzi wake sababu chumvi hii inatia ukakasi kwenye koo.

Sasa hapa ndipo naposimama,
Waziri wa afya yupo
RAISI SAMIA YUPO
WAZIRI MKUU YUPO

Hawa nao watakuwa wanaliona hili, japo sio kwamba ni watumiaji hata wao wanajua kuwa sio salama kama tukilifumbia macho, ndio maana tukaenda kusoma ili kusimamia haki na Ukweli, za ndugu zetu watanzania.
Food safety kwa nchi hii ni kama imetelekezwa, hakuna ufuatiliaji makini kabisa. Watu wanakula vitu vyenye contaminations za makusudi kabisa toka kwa wazalishaji. Mamlaka husika ni kama wameamua bora liende. Hata hivi viwanda vya mitaani na huku mikoani wanawaweka walaji kwenye risk kubwa sana. Kuna mengine hata humu sitoweza kuandika.
 
Watu mna dig deep duuuh... Kumbe yaani azam embe nayo inashida sasa hizi zingine si ndo matatizo kabisa.
Hapo kwa kansa ya damu duuh
Shida mpk kuisakama AZAM
ni baada ya AZAM kujimwambafai na maandishi MAKUBWA kuwa ni EMBE halisi
Kisha kwenye INGREDIENT akaweka viandishi vidogo ambazo ukisoma unakutana na virutubisho vilivyounda hiyo JUISI ni chemical tupu
tena kuna CHEMICAL zingine kitaalamu hazikupaswa kuchanganya pamoja
Na kuna nyingine zimezidi kiwango kinachohitajika kwa chupa 1 ya ujazo husika

Sasa wasiojua wanajua ni embe halisi mtu anaweza kubywa hata CHUPA 3 au 5 akijua ni embe halisi Kumbe anajimaliza kiafya

Hasa sisi wengine tunawapa watoto zetu tukijua ni EMBE halisi kumbe tunawaumiza watoto wetu

Hizo unazosema wewe zinajulikana ni Chemical tupu nakuna zingine wameandika kabisa
mfnKuna fanta orange sijui milinda orange ile ya chupa ya plasitic
Wameandika kabisa haifai kwa watoto na wajawazito
 
Kuna soda za makampuni makubwa duniani yanayoheshimika hasa zile soda nyeusi ukinywa kama utapata kufanya tendo la ndoa utaaibika, maana ufanisi wa kufanya tendo la ndoa utakuwa sifuri, dakika arobaini na tano zitapita bila mafanikio
Hii ni kwako au wanaume wote ndo wansemaga hivo mana jinsi ulivyoandika ni kama vile una hakika
 
Back
Top Bottom