Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

Turn your limited gb harddisk into unlimited storage hdd.

ZAIDII YA YOOOOOTE HAYAAAA....KAMA NI KWELI ANALOLISEMA KWA NINI IWE NI KWA PM..!!?? SI ANGEWEKA TU WAZI HAPA....na kama yeye ndo amegundua na anauza basi aweke wazi kuwa anauza...ya nini kufichaficha bana..
 
anataka utajiri ndio maana PM inahusika otherwise atakosa mapato akiweka hadharani.
 
nop sijampa hongera nimedhihaki kimafumbo mkuu.

Technolojia mkuu haipatikani kwa kulala then kuamka unagundua kitu bali ni research za miaka na miaka.

Then kibaya zaidi ni kitu kama hicho kimetengenezwa then yeye afanye modification kiwe unlimited.

Yani hapo kawatukana wote kina sandisk, kingston, sjui transend, watengeneza hdd wote dunian

keli bana!
 
dah notifeki we noma kaka mwagaa maujuzi hayo......................... unajua watu tupo kama tomaso ngumu kuamini mpaka 2shuhudie kaka funguka
 
I have developed a strange program code that you can run in your pc an transform your lets say 120 gb hdd into unlimited storage megadrive where you can store hundreds of thousands of terrabytes data without worrying about harddisk capacity. If you are interested pm me ican give you the code's .exe cmd. Im hoping to obtain a patent for this so dont double cross me since this might be a big milestone in pc history, i might actually become very rich on this dicovery.

Notifeki, mimi natafuta mtu ninayeweza kushirikiana nae kutengeneza application inayoweza kubadili noti feki kuwa halisi. if you're interested join me and start change the world
 
Swali la msingi;youtube ina uwezo wa kuhifadhiwa mafile ya video mpk size ngapi?
Nahs watakuwa wanatumia automatic expansion volume smthng which can be done also in hdd
 
Swali la msingi;youtube ina uwezo wa kuhifadhiwa mafile ya video mpk size ngapi?
Nahs watakuwa wanatumia automatic expansion volume smthng which can be done also in hdd

mkuu wale wana sever na na sehemu za kustore ni kubwa asikwambie mtu.

Sku moja wapreview walikua wanachambua operamini server zao hz
miniServers.jpg

zipo wingi kama ukubwa wa holi la harus hv.

Then kuna jamaa nlimskia aliona za youtube anasema zina ukubwa kama uwanja wa mpira zipo 100,000 kwenye hdd za 400gb per piece (at that time sijui sasa)

ingekua ni hdd 1 wangetoa nexus ya unlimited storage google tena kwa masifa
 
Mh..!!! sidhani kama yawezekana maana kuna watu walikuja na software ya kubadili any volume ya memory card/usb flash but mwisho wa siku ikabainika ni changa la macho!!!
Kama vp mwaga hapo hayo maujuzi coz kuteta chemba (PM) ni utapeli

Nilitest hiyo kitu kwenye 120mb memory card na ikasoma 4gb lakini nilipojaribu kuweka mafaili cha moto nilikiona, ilibidi niRestore to default kwa hiyo huyu jamaa ni wale wale tena aangalie laana isimpate kwa hilo.
 
Jihadharini, hiyo ni virus most probably. Ukijua function ya HD utajua kuwa hili haliwezekani, ni kinyume na sheria za physics, kama ndoo ya lita 30 ujaze bahari nzima.

Hata kama harddisk yangu ni 3gb hizo kodi zake sitaki kawalipishe Wengine
 
Notifeki, mimi natafuta mtu ninayeweza kushirikiana nae kutengeneza application inayoweza kubadili noti feki kuwa halisi. if you're interested join me and start change the world

Hey.. We mtu..
Ukivunja mbavu zangu,utahama mji!
Tehe..tehe..tehe..tehe...
 
Hiyo program kaitoa Nigeria

Sawa subirini mzungu awaletee hiyo program. Mimi ni programmer tangu 2000. Nimesha develop info systems nyingi corporations nyingi hapa bongo na nairobi. Kweli watanzania wengi vichwa tope. sasa IT mnajifunza nini?
 
wewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,
 
Back to the roots, kama unajua HDD ni nini na nini kinaunda HDD/memory storage device wala usingejisumbua na hiki kitu. Whether tech yoyote ile ( iwe electronic records I.e flipflop, registers & Co, magnetic records, optical records ect) kitu unachokiongea hakiwezekani.
 
wewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,

Anataka tumpigie magoti kwanza kwa ekaya yake za Abunuwasi!!!!
Nadhani upya tu humu JF akikua ataacha.
 
Umeshatest kwenye systems na environments zipi?
 
nop sijampa hongera nimedhihaki kimafumbo mkuu.

Technolojia mkuu haipatikani kwa kulala then kuamka unagundua kitu bali ni research za miaka na miaka.

Then kibaya zaidi ni kitu kama hicho kimetengenezwa then yeye afanye modification kiwe unlimited.

Yani hapo kawatukana wote kina sandisk, kingston, sjui transend, watengeneza hdd wote dunian

kinacho N changanya Zaidi Hard Disk N Hardware Then Yy anaelekea Kuichange iwe Kama Software!!! Siamin kabsaaa!!!
 
wewe jamaa hebu acha maneno mengi hapa, mie post za stori stori kama hizi ntakuwa nazitoa, umesema unataka kuwaonesha watu ujuzi wako, huuoneshi unaanza kusema watu vichwa tope tena,
usifute, hii ni ya kupeleka jokes corner ndio itakuwa mahali sahihi
 
From the beginning I knew it was a Bluffing, maneno mengi sana mkuu notifeki tunataka proof
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom