Loyal_Merchant
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 623
- 267
Kaka asante sana kwa majibu yako, siyo mgeni wa bits and bytes, ila sina knowledge yoyote na namna ambavyo zinaweza ku-interact na hardaware, nashukuru kwa kunifahamisha.
Sasa kulingana na majibu yako,are you saying "is impossible" au ni "difficult" kutengeneza virtual (NOT PYHSICAL) storage blocks, kwa ajili ya kuhifadhi data in as much as a phsysical storage block does, which is which? Na kama unasema kwamba si vigumu bali ni impossible, unaweza ukawa-convince watu kwa research gani iliyofanyika ikahakikisha hivyo? Kwa nini hudhani kwamba current knowledge on the issue is either hidden or does not yet provide for that possibility kwa sababu pre-requisites za technology hiyo kuweza kuwa invoked kwa mda huu bado hazijaweza kuwa fully explored?
Kaka, huwezi ukaconclude kwamba watu hawataweza kabisa kwenda mwezini simply kwa wakati huo hakuna chombo kinachoweza kwenda mwezini. Inaweza ikaja ikafika wakati kukawa na possibility ya watu kwenda mwezini tena bila hata ya kuhitaji chombo sophisticated kama vile ulivyokuwa unadhani.
Mwisho, Kaka, una-recommendations gani kwa ulimwenugu kuhusu hili swala iwapo kuna watu wanalifanyia kazi au utafiti, unawashauri nini? Wa-abandon utafiti wao?
Ningekushauri ukubali kuwa hili swala ni gumu ila laweza kuwa linawezekana, na si kwamba haliwezekani kabisa, mpaka pale utafiti utakapo-prove otherwise. Just take H-note as "the case is possible". Otherwise kwa mlengo wako hatuwezi tena kufanya utafiti tutakuwa tunaendelea ku-conclude maswali yote yaliyoko mbele yetu kwa kutumia existing knowledge, ambapo ni makosa kwa sababu bado haijaweza kujibu kila swali lililopo hapa duniani.
Uphssss......!, kama ulivyoniomba nitoe msimamo wangu kuhusu kitu alichokizungumza notifeki ni kwamba haiwezekani totaly kitu anachokizungumza kutendeka ama yeye kukitenda. Na ninasema haiwezekani kwa maana kwamba basic principles za physics na electronics yake kwa ujumla vinapingana na kitu anachozungumzia notifeki kwani yeye amebase kwenye modification ya part mojawapo ya kifaa na si kuunda kifaa kiujumla. HDD zilizopo sasa hazikubaliani na kitu alichokizungumza na kudai yeye amekifanya juu ya hizi HDD.
Kwa upande wa pili, umezungumzia ishu ya mbeleni kuwa na unlimited storage, yawezekana ikatokea ikawa kweli lakini tukubaliane kwamba structure ya hardwares zitakazokuwapo wakati huo hazitahuwa hizi zilizopo sasa, so itakuwa ni new invention totaly na si kufanya modification katika vifaa vilivyopo sasa.