Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
These are difficult days for Jerusalem for the simple reason that the political struggle over Jerusalem, the nationalist struggle, the Israeli-Arab conflict, has turned into a Jewish-Muslim conflict, and to my sorrow both sides understand this — understand this but are not doing anything about it,” Rivlin said an interview with Channel 2 television.
“We have no dispute with Islam, we did not have, we will not have, and today, too, we don’t have,” he declared. “We need to make it clear to everyone.”
The president, unlike other leaders and security officials, did not hesitate to label the current surge of violence an intifada.
 
The president urged Israelis to avoid taking steps that would potentially heighten tensions surrounding the Temple Mount compound, the holiest spot in Judaism that also contains the al-Aqsa mosque, Islam’s third holiest site.
“We have always realized, as Israelis and as Jews, that we are not fighting Islam and thus avoided turning the Temple Mount issue into a war of Jews against Muslims,” he said. “This is the way things were, but it is currently fading.”
“It would be best if [Israeli] leaders realized that they should not raise the issue of control over the Temple Mount.”
 
kuna vitu viwili vinaweza kukufanya mpumbavu maisha yako yote ni kupenda sana kitu au kuchukia sana kitu endelea na chuki zako utakataa kuoa mpalestina lakini utakubali uoelewe na muisrael si umeendekeza chuki kuliko ukweli
Why don't you test the Quran. Wpai kwenye Quran panasema kuwa Jerusalem ni sehemu ya Palestine? Mananeno meengi pasipo ushaidi ni bure kabisa na yanazidi kuonyesha how illiterates are you in respect of Palestine ambayo haikutajwa hata mara moja kwenye Quran ya Jibril.
 
Why don't you test the Quran. Wpai kwenye Quran panasema kuwa Jerusalem ni sehemu ya Palestine? Mananeno meengi pasipo ushaidi ni bure kabisa na yanazidi kuonyesha how illiterates are you in respect of Palestine ambayo haikutajwa hata mara moja kwenye Quran ya Jibril.

haikutajwa kwny Qur'an so what?? Israel imetajwa? Kwa hyo Palestine kutotajwa kwny Qur'an ndyo Israel inapata uhalali WA kuimiliki Jerusalem? Kwa upande wangu Israel na Hamas wote wapuuzi option. Hpo Ni 2 states wagawane hyo ardhi pasu to pasu ikiwemo hyo Jerusalem kinyume na hpo ndyo ugomvi WA miaka million ijayo
 
Because its not. Just like a fictional "palestinians"
Hata leo ukibadili Watanzania wakahamia Israel na Wayahudi wakahamia Tanzania amani itapatikana, vita itahamia Tanzania
Trust me, issue sio nchi bala hawatakiwi wayahudi
Soma charter za Hamas and the co utagundua global Jihad against Jews

usiseme Jews Tu hawatakiwi wapalestina PIA hawatakiwi hawa watu kila mmoja hamtaki mwenzie na hpo ndyo ugomvi unapoanzia so ukisema Jews pekee yake Ina maana unawasilisha mjadala kwa msingi WA imani yako na sio hali halisi iliyopo huko
 
Take it easy muhammadan. I know birth pangs hurts but the truth is clear that, even Allah hates palestinians. Mpalestina hapewi kitu wala nini. Nyie hata kwenye Quran hampo, kwanini upewe kitu huku hujulikani hata kwa Allah na Mtume wake Muhammad?

Hakika Palestine ni watu bandia. Hawana nchi. Hawana ardhi. Ni msiba tu.

Ni vigumu Sana Ku deal na mtu km wewe ambaye huu mgogoro unauchukulia km ushabiki WA simba na yanga kumbuka wapalestina waliishi pale kwa miaka 2000 kwa vyovyote isingekuwa jambo rahisi kuamini maneno kwny torah ya waisrael na kuiachia ardhi sasa badala ya kujikita kwny ushabiki Ni bora tujikite kwny suluhisho
 
unajichora,reasoning yako ni dhaifu sana.

Tanzania ,marekani, korea na nyingi tu pia hazijatajwa na mungu kwenye vitabu kwa hivyo u mean Israel ana haki yakuchukua hizi nchi pia NARUDIATENAAIATEULE GANI HALINA AMANI MUNGU ANGKUWA ANALIPENDA SANA(KAMA WAO WANAVYODAI ETI THEY ARE SPECIAL ) LINGEKUWA SEHEMU YA AMANIKAMA SAUDA , AU QATAR AU FRANCE MBONA KILA SIKU LIKO KWENYE MATATIZO.
 
Na asikudanganye mtu yoyote israel ni mtoto mdogo katika vita isipokuwa kuna basha wake mmarekani ndo anamlinda lakini pamoja na hivyo kikundi cha hizbollah cha lebanon (sio serikali ya lebanon)kilimtoa jasho mpaka wakakubali yaishe(kasome wikipedia ambayo ni wao wenyewe mpaka ukiona wamekubali kuwa ilikuwa draw match jua kuwa alizidiwa). Juzi juzi mgogoro na hamas eti nikaona cnn na al jazeera eti anafanya resupplying ya silaha kama kamgogoro kadogo tu unaomba supplies tena je angekuwa na mgogoro kama wakina assad syria wanapigana miaka na wanashinda tu tumieni akili wakati mwingine kuna wajinga humu wakawa wanasema israel taifa liliobarikiwa na mungu lingekuwa taifa lililobarikiwa lingekua liko australia huko au qatar ambako kuna amani (atleast )sio hapo kwenye migogoro daily..
Unapoitaja nchi kama germany kuna kampuni kubwa za magari nchi iliyoendelea kiteknolojia.ukitaja marekani watu wanakuelewa ,russia,uk,fance, italy, japan lakini israel ana nini cha kusema kuwa eti taifa bora utamsikia muda wa kugombea ardhi za wapalestina tu we lini umesikia israel ikitajwa kwenye mambo yoyote ya kimaendeleo muda wote inapotajwa ni muda wa migogoro tu. Hebu niwaulize nchi yetu tz na israel ipi imebarikiwa na mungu (mjibu ukweli msije mkamuudhi mungu hatutaki histora sijauliza nani alibarikiwa nauliza nani amebarikiwa yaani kwa wakati huu)
 
yote sawa lakini uwepo wa israel katika middle east ni kwa maslahi ya america nothing more dat y as long america ndio superior duniani hakuna jipya kwa turkey ni kalele za media walizobakiwa nazo waarabu .na wala hutawasikia israel wakimjibu coz netanyahau alishawaambia maafisa wake wawapuuze kuwajibu viongozi wa kiarabu wanawowashutumu kupitia media
Waturuki sio waarabu,waturuki ni waturuki hivyo hivyo ndio kabila yao.
 
Wakristo watu waajabu sana,wako tayari kuwatenga waarabu wakristo wenzao kwa kuwatetea wayahudi,kwa sababu tu,jambo linalotetewa pia linawahusu waislamu.Palestina ni mchanganyiko wa waarabu waislamu na waarabu wakristo.

Una matatizo wewe ....

Hapa hatuzungumzii dini ya mtu bali tunazungumzia mipaka ya nchi,Wayahudi sio Wakristo hivyo hatuna maslahi nao bali hapa tunazungumza hali halisi halafu wewe unaleta mambo ya dini

Unadhani kwasababu tu kuna Wakristo huko Palestine basi unataka tuseme Jerusalem ni ya Wapalestina,wewe una matatizo sana .....!!
 
Una matatizo wewe ....

Hapa hatuzungumzii dini ya mtu bali tunazungumzia mipaka ya nchi,Wayahudi sio Wakristo hivyo hatuna maslahi nao bali hapa tunazungumza hali halisi halafu wewe unaleta mambo ya dini

Unadhani kwasababu tu kuna Wakristo huko Palestine basi unataka tuseme Jerusalem ni ya Wapalestina,wewe una matatizo sana .....!!
Mnawatetea kwa kusema ni Taifa lililochaguliwa na Mungu,atakaye lilani naye atalaniwa,hawa wayahudi wanamwita Yesu mtoto wa haramu,ni Mungu gani aliyewachaguwa wawe bora!!
 
Katika uyahudi Yesu hawamuheshimu kabisa,na wala hawana kazi naye,walimkataa mapema kabisa,na wanamwita Mtoto wa nje ya ndoa,mama ake ndio kabisa hawamheshimu.Tofauti na katika uislamu,Yesu na mama ake amepewa heshima kubwa.
 
Eiyer
Sasa mipaka unadhani unajiwekea tu kama enzi za zamani wakati dunia haiko organised?.
jaribu kuwa great thinker bana.weka bible pembeni kwanza maana hili jambo haliamliwi kwa vifungu vya biblia.
umoja wa mataifa haitambui umiliki wa israel kwa jerusalem ya mashariki na kuna UN resolution inaelezea hayo.na mataifa yote wanadiplomasia wanajua hilo.suala hapa mmiliki wa east jerusalem ni hao wapalestina ambao wamekutwa hapo kuishi kabla ya kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948.
achana na ile ancient israel kingdom ya miaka 3000 iliyopita ambayo haitambuliki kwa sheria za kimataifa ,afterall hata hiyo kingdom ilikuta kingdom zingine zikiwa hapo kabla yake.
 
Last edited by a moderator:
Sasa mipaka unadhani unajiwekea tu kama enzi za zamani wakati dunia haiko organised?.
jaribu kuwa great thinker bana.weka bible pembeni kwanza maana hili jambo haliamliwi kwa vifungu vya biblia.
umoja wa mataifa haitambui umiliki wa israel kwa jerusalem ya mashariki na kuna UN resolution inaelezea hayo.na mataifa yote wanadiplomasia wanajua hilo.suala hapa mmiliki wa east jerusalem ni hao wapalestina ambao wamekutwa hapo kuishi kabla ya kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948.
achana na ile ancient israel kingdom ya miaka 3000 iliyopita ambayo haitambuliki kwa sheria za kimataifa ,afterall hata hiyo kingdom ilikuta kingdom zingine zikiwa hapo kabla yake.

Ni jambo la kijainga sana mtu anaposema kuwa "achana na ile Tanganyika ya zamani kabla ya kuwepo Tanzania" wakati anasema hivyo mnakuwa mnajadili mahali ambapo mipaka ya Tanganyika ilipokuwa mwanza,huyu atakuwa mzima kweli?

Wewe unataka kuzungumzia Israel na asili yake na uhalali wa wao kuimiliki Jerusalem halafu hutaki tuzungumzie historia ya Israel tangu kuwepo kwake,hivi wewe una matatizo gani?

Kama Waisrael waliwakuta watu hapo,ni kitu gani kiliwafanya wao wakamiliki hayo maeneo waliyoyamiliki kwa maelfu ya miaka?

Hao walikuwa hapo ndio Wapalestina? Kama sio hawa Wapalestina walitoka wapi?

Wanapodai Jerusalem ni yao,wanakuwa wamevuta bangi?
 
Mnawatetea kwa kusema ni Taifa lililochaguliwa na Mungu,atakaye lilani naye atalaniwa,hawa wayahudi wanamwita Yesu mtoto wa haramu,ni Mungu gani aliyewachaguwa wawe bora!!

Masuala ya Israeli kuwa taifa teule la Mungu tuachie sisi Wakristo,hayana uhusiano na hii mada wala Waislam ......

Stick to the "mada" kijana!
 
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan

Ukubwa wa jeshi siyo quality ndugu yangu. Kama wabisha kawaulize waarabu watakueleza kwamba kanchi ka watu million tatu kanaweza kakapambana na nchi kama kumi zenye jumula ya zaidi ya wetu milioni mia.
 
Positions on Jerusalemheld within the international community.

[ 1 ]Scholars are divided over the legal status of Jerusalemunder international law.

[ 2 ]No country in the world except for Israel has recognized Jerusalem as Israel's capital. Many do not recognize it as a city that is properly Israel's. Many UN member states formally adhere to the United Nations proposal that Jerusalem should have an international status.

[ 3 ]
The chief dispute revolves around Israel's occupation of East Jerusalem, while broader agreement exists regarding the Israeli presence in West Jerusalem.

[ 2 ] De jure, the majority of UN member states and most international organisations do not recognise Israel's ownership of East Jerusalem which occurred after the 1967 Six-Day War, nor its 1980 Jerusalem Lawproclamation, which declared a "complete and united" Jerusalem as the capital of Israel.

[ 4 ]As a result, foreign embassies are generally located in Tel Avivand its suburbs

Tangu lini mji ukagawanywa vipande viwili? Imekuwa Berlin? Hata yenyewe imeishaungana baada ya ukuta wa Berlin kudondoshwa. Ariel Sharon baada ya kuikomboa East Jerusalem yeye pamoja na general Dayan waliapa kutoiachia Jerusalem tena milele. Nyinyi kaeni na sheria zenu za kimataifa midrange na mile ugali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom