Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,492
- Thread starter
- #101
Naona unabishana hadi na takwimu.globofirepower wanasema uturuki ina nguvu kijeshi kuzidi israel,wewe unasema vingine na hutoi ushahidi.Don't fool yourself kuwa Israel haina nuke utakuwa umepotea maboya kuhusu Gaza wanapiga kishikaji wakiamua inapotea kwenye ramani ya dunia Egypt, Syria, Jordan zilivamia Israel kwa pamoja ziliishia kugongwa kama watoto Turkey hana lolote mbele ya Israel pamoja na kuwa ni ya nane Israel nguvu zake ni siri kubwa ndo maana walizamisha floatillas za Turkey hawajafanya lolote angekuwa ni Syria angevamiwa kwanza Egypt inaweza izidi Uturuki ambayo ina makeke mengi. Na ilikimbilia NATO kujilinda dhidi ya Russia maana amekuwa akiitandika kama mtoto hao wengine uliotaja Tajikstan, Azerbaijan, Saud Arabia hazina lolote Pakstan mwenyewe kiboko yake India kamtandika.mara kibao.ikwepo.kuitenga Bangladesh ije iwe kupambana na Israel.kimahesabu waislamu hawana nguvu za kijeshi wapo wapo tu nguvu zote ni mataifa ya kikristo Marekani, Urusi na mataifa ya mgharibi pia wabudha huko China na wahindu India waislamu wapo mbali kwenye ranking wangekuwa juu dunia nzima ilishasilimishwa kwa nguvu haya ni maneno ya Mwanamutapa namnukuu jambo ambalo yuko sahihi kabisa
tukio la israel kuvamia meli ya misaada ya uturuki,israel waliomba msamaha kama hujui na turkey ikakataa kuwasamehe na kuvunja ushirikiano nao wa kijeshi.
israel wanatumia ndege za kijeshi F16 za kupewa ama kununua toka marekani,wakati uturuki wanatengeneza wao wenyewe F 16.
Israel hawawezi kuiteketeza gaza.kama hujui ile vita iliyopita wamedondosha mabomu ya kujaza mamia ya semitrail lakini hawakuweza kitu.kama wajidanganya watapiga gaza kwa nyuklia nakwambia hawawezi kwani mionzi ya nyuklia itawarudia wao.
asilimia kubwa ya nchi za ulaya ziko against israel kuikalia jerusalem mashariki.
kutumia mfano wa vita vya zamani eti ndo kigezo kwamba israel watawapiga hao ni kujidanganya tu.uturuki wenyewe walishakalia jerusalem kwa mamia ya miaka.
wasyria wamekalia hapa kwa miaka kama 500.
wairan nao mamia ya miaka.
kuanzia mfalme saul hadi hedekia haifika miaka 250,ongeza na miaka ilipoundwa israel 1948 jumla wayahudi hapo hawafikishi miaka 300.
sasa nani amekaa mda mrefu jerusalem?