Turkish PM: Nothing will prevent us from protecting Jerusalem

Status
Not open for further replies.
Ndo kusema hata wewe huwezi kupekua na kupata ushahidi wakati nimekuwekea hint.
ok kwa uchache kabla sijaingia kutake shower.
wamoab walikuwepo,wakaanani walikuwepo,wafilisti,waamedian,waasyria ,jebusite etc
hiyo ni hint ukitaka deeply search au la ntakuelekeza kwa mda wangu.

Sasa kama wa me pita wengi na kuondoka. Basi hata waparestina walikuwepo basi. Si wakavamie jordan kama walivyopanga miaka ya sabini au wawatoe waisrael sasa kama uwezo wanao. Tatizo wamezidi kutupigia kelele. Wawo ndiyo waliahidi kuwapiga mayahudi hadi bahari ya Mediterranean. Yako wapi sasa.
 
kishi mwana wa abdi.
point hapa ni kuwa jebusite hawakuwa waisrael.
hata ivo umeweka arqument nzuri na ntamcheki huyo kishi mwana wa abdi ni nani hasa

Jebusite walikuwa wenyeji wa Jerusalem kabla mfarume daudi hajautamalaki na kuhamishia makao yake makuu hapo. Baadaye wayebu walimkiri YWYH kama Mungu wao na kuwa mayahudi rasmi.
 
How come wakati si ukoo wa yakobo?
 
Sasa kama wa me pita wengi na kuondoka. Basi hata waparestina walikuwepo basi. Si wakavamie jordan kama walivyopanga miaka ya sabini au wawatoe waisrael sasa kama uwezo wanao. Tatizo wamezidi kutupigia kelele. Wawo ndiyo waliahidi kuwapiga mayahudi hadi bahari ya Mediterranean. Yako wapi sasa.
Sio kwamba walikuwepo bali wapo,haya mambo yanachukua mda kumbuka hata wababeli wamekaa hapo miaka kama mia 2,sasa hata hao makaburu hapo hawafika ndo maana wengi wao wana uraia zaidi ya mmoja.
 
Turkey hawana uwezo kupigana na Israel kwasababu kama wangekuwa na uwezo huo wangeshapigana muda mrefu kutetea waislam wenzao. Kupigana na Israel ni kupigana na Israel, Marekani and its allies.

Sasa alies wa Turkey wako wapi? si waarabu wachovu tu hao? halafu, suala la Jerusalem ambayo ipo Israel linaihusu nini Turkey? Kwanini Israel haijaingilia mambo ya Turkey?

Kwa Uturuki hiyo ni ndoto ya mchana ambayo haitakuja kutokea na hii ndio sababu hawakubaliki European union ata kuwa ndani ya ulaya tu na wanaishi bila kujulikana wako bara gani, hawapo ulaya na hawapo arab/asia.

Jiji la Jerusalem litalindwa na Mungu mwenyewe na wala si Marekani wala Uturuki, kama kuna mwanadamu yeyote anaamini anaweza kufanya chochote dhidi ya mji mtakatifu wa Mungu huyo atageuka mavumbi al magedon na gogu na magogu vitakuja kujulikana muda si mrefu.

Hakuna mungu, acha porojo.
 
Non sequitur.

Kishindwa kujizuia nisiende haja kubwa hakuthibitishi kuwapo kwa mungu.

Unaunganishaje visivyo na uhusiano?
Viumbe vyote lazima viende haja kubwa,sasa wewe badilisha usiende haja kubwa,halafu tuthibitishe,hapa kweli tutajuwa hoja yako ina mshiko.Lakini unakwenda haja kubwa,ukitaka usitake.
 
Kwenda haja kubwa kunahusianaje na uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?

Mungu ni haja kubwa?

Maana kama mungu wako ni haja kubwa nitaelewa. Nikienda haja kubwa nitajua mungu yupo, huyu hapa anatoka mwilini mwangu.

Lakini kama mungu wako si haja kubwa, kuenda haja kubwa kunathibitishaje kuwapo kwa mungu?
 
Kwenda haja kubwa kinahusianaje na uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?

Mungu ni haja kubwa?

Maana kama mungu wako ni haja kubwa nitaelewa. Nokienda haja kubwa nitajua mungu yupo, huyu hapa anatoka mwilini mwangu.

Lakini kama mungu wako si haja kubwa, kuenda haja kibwa kunathibitishaje kuwapo kwa mungu?
Tendo la kwenda haja kubwa ndio asili ya maumbile ya mwanadamu,kwa hiyo wewe badilisha mfumo wa maumbile ya asili usiende choo,ukae siku tatu tu,kama hukwenda pigwa bomba,vitoke.
 
Tendo la kwenda haja kubwa ni asili ya maumbike ya binadamu.

Hiki halina ubishi.

Wala si swali langu.

Swali langu ni. Tendo hiki linahusikanaje na uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?

Umejibu swali ambalo hujaulizwa, ambalo umeulizwa hujajibu.
 
Tendo la kwenda haja kubwa ni asiki ya maumbike ya binadamu.

Hiki halina ubishi.

Wala si swali langu.

Swali langu ni. Tendo hiki linahusikanaje na uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?

Umejibu swali ambalo hujaulizwa, ambalo umeulizwa hujajibu.
Wanaoamini kuwepo Mungu wanaamini kama mwanadamu kaumbwa na Mungu,ili uwathibitishie kama hakuna Mungu,badilisha mfumo mmoja tu wa mifumo ya Mungu,ya kwenda choo binadamu, usiende choo,huna ujanja,huo ni mfumo mmoja kati ya mifumo mamilioni.
 
Mfumo huo una uhusiano gani unaothibitishika na mungu?

Kabla ya kwenda mbali sana kwenye mfumo huo, ambao hujauthibitisha kwamba una uhusiano wowote na mungu, unaweza kuthibitisha kwamba mungu yupo?

Na mimi kuweza au kushindwa kubadilisha mfumo wa asili kuja uhusiano gani na uthibitisho wa kuwepo kwa mungu?
 
Huko kushindwa kwako kubadilisha mfumo wa Mungu,ndio uthibitisho wa kuwapo aliweka mfumo ambao unakushinda we we kuubadilisha.
 
Kwa nini kushindwa kwangu kubadilisha mfumo ambao hujathibitisha kwamba umewekwa na mungu kuwe uthibitisho wa kuwapo aliyeuweka?

Unajuaje kuna aliyeuweka?

Na unajuaje kwamba aliyeuweka ni mungu?

Unawwza kuthibitisha habari kwamba aloyeuweka mfumo huu ni mungu?
 
Kama aliyeuweka sio Mungu,wewe badilisha,ili tujuwe hakuuwekwa na Mungu.
 
Haiwezekani iwe kwamba aliyeuweka si mungu halafu mimi nikashindwa kubadilisha vile vile?

Kama nashindwa kubadikisha transmission ya gari, basi hilo maana yake gari limetengenezwa na mungu?

What kind of logic are you using?
 
Aliyelitengeneza gari naye pia kaumbwa na Mungu,kushindwa kwako kugeuza mfumo wa gari ni akili zaidi alizopewa aliyetengeza gari kuliko wewe.
 
Kwa hiyo vile ninavyoweza kubadilisha vinathibitisha kutokuwepo kwa mungu?
 
Vile unavyoweza kubadilisha ndio unazidi kuthibitisha kuwepo kwa Mungu,kwa sababu Mungu ndio kaeka viko tunavyoweza kubadilisha na viko tusivyoweza kubadilisha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom