Sio hilo tu, unaambiwa hadi Yohana Mbatizaji alikuwa na yeye ni muislamu... Halafu hawatambui kama wanahitaji msaada...
ha ha ha Wakuu mbona mnakuwa wagomvi hivyo!?
Sio hilo tu, unaambiwa hadi Yohana Mbatizaji alikuwa na yeye ni muislamu... Halafu hawatambui kama wanahitaji msaada...
Kwani wewe history unaisoma tangia mwaka gani?,au ulichukua PCB nini?.Mkuu,sijui sababu za wao kudai Jerusalem ni yao wanazitoa wapi wakati wanajua ka bisa kuwa Jerusalem ni ya Wayahudi tangu hata Dini yao haijakuwepo
Hawa watu ni wazima kweli?
Ndio huwa wanasema hivyo mkuu...ha ha ha Wakuu mbona mnakuwa wagomvi hivyo!?
Kwani wewe history unaisoma tangia mwaka gani?,au ulichukua PCB nini?.
jerusalem haikuwahi kuwa ya israel mpaka kipindi cha akina king saul na daud,sasa kabla ya hapo ilikua chini ya nani?.
Huo mji umekua exchanged kwa mda mrefu sana.soma timeline ya jerusalem uone.
by the way,kwanini ni marufuku kwa wayahudi kusari pale al aqsa?
Sio hilo tu, unaambiwa hadi Yohana Mbatizaji alikuwa na yeye ni muislamu... Halafu hawatambui kama wanahitaji msaada...
Ni marufuku kusari hapo,muulize dr slaa atakwambia.
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan
Na wakati wa Yoshua je?
Waisraeli ni akina nani kwani?
Kwani Jerusalem ni ya nani!?Naona mnabadili mada kuwa ya kidini hapa,but you are wellcome.
Ntuzu njoo huku, jamaa anadai eti hadi moderator aje kuokoa...Ha ha ha,tulia mkuu nigawe dozi za kigreat thinke hadi mode aje awaokoe.
likewise akishambulia au kuingia vita vya kujitakia member wa NATO sio kwamba member wote wanaingia vitani especially hivi vya kujitakiaMbona data ziko online au hujishughulishi?.
uturuki ni member wa NATO na actually ndo nchi ya pili ama ya tatu kwa jeshi kubwa katika NATO,na sijui kama unajua kuwa anaposhambuliwa member wa NATO ni sawa na wameshambuliwa member wote.
kutokuwa kwa uturuki katika umoja wa ulaya haimaanishi kuwa uturuki ni nchi dhaifu,kumbuka imewahi kuwa empire.uchumi wa uturuki ni mkubwa kuliko uchumi wa israel kama unabisha tafuta data.
israel ubavu wa kuipiga uturuki hana.
Kamata hii kwanza.Ntuzu njoo huku, jamaa anadai eti hadi moderator aje kuokoa...