katika orodha ya nchi 20 tajiri dunia (G20) naona imewekwa na European Union, ndo nauliza na hiyo nchi gani na inapatikana bara.Sikuelewi asee.
Fitina kivipi!?
Worlds major economies-G20.
Argentina
Australia
Brazil
Canada
China
European Union
France
Germany
India
Indonesia
Italy
Japan
Mexico
Russia
Saudi Arabia
South Africa
South Korea
Turkey
United Kingdom
United States
binafsi sikubaliani na ushabiki tunaouonyesha hpa kwa misingi yetu ya kidini kumbukeni wakati c tunaonyesha ushabiki wetu hpa kuna watu wanakufa huko, sasa tutakuwa watu wa ajabu kushabikia binadamu wenzetu kufa,kwa upande wangu siwezi kuthibitisha khs waisrael au wapalestina juu ya madai yao ila ninachokiona ni hali ya upande mmoja kuona wana haki zaid ya upande mwingine, siku wakitambua wote wana haki sawa khs sehemu husika basi tutaanza kuona dalili za amani mashariki ya kati .....jerusalemu ni sehemu muhimu kwa pande zote km kweli wana nia ya kweli ya kuumaliza huu mgogoro wagawane ardhi jambo ambalo linawezekana kbsa kwani kuna kpindi israel walikubali kutoa sehem ya mji huu kwa wapalestina ingawa mazungumzo yalikuja kukwama kwa hyo naamini kbsa inawezekana km kuna masikilizano
Hujui hata unaongea nini.haya mambo ukiweka ushabiki watu wanakushangaa.israel imeingizwa kinyemelea katika nchi zilizoendelea lakini iko rank za chini ikizidiwa na uturuki na vinchi kama spain,ugiriki etc.One thing to note: Milele hutaikuta Israel katika ranks either za uchumi au kijeshi! Watu hujaribu kuikadiria lakini no one nows exactly. Umewahi kujiuliza uchumi wa dunia unapangwa na nani? E.g kupanda na kushuka kwa sarafu za dunia? Utasema labda world bank or IMF. Okay.. Unajua hizo zote ni entity za watu?!!! Watu hawa unawafahamu? Endeleeni kubwabwaja tu vidata vya kuokota okota.
Logic yako inaonyesha bado sana.eti bible na korani ipi imeanza.Haki sawa kwa misingi ipi? Wapalestina wanataka kuachive goals ambazo wanafahamu wazi wazi kwamba hawawezi kuziachive. Kati ya biblia na Koran ni kipi kilitangulia? Jibu unalo. Sasa biblia inasema yerusalemu ni ya nani? Jibu unalo! Koran inasema chochote kuhusu Jerusalem na umiliki wake. Let's use our brains
yaani unaita kipigo wakati wenzio majengo waliyokuwa wamejenga kule beirut mengine hadi leo hawajayajenga, na wapo hoi kiuchumi iran inayowasapoti nayo ina vikwazo lukuki juzi ilikuwa inaomba pale Geneva wampunguzie vikwazo kwasababu vinaume ili yeye apunguze uraniam enrichment. upo dunia ya wapi? hivi hata gaza nayo utasema hamas wameshinda....Beirut unasema hezbolah ilishinda? nani aliumia zaidi?..............wewe jifurahishe tu ! wenzio walimfukuza kazi 'Mkuu wa Majeshi' kwa kipigo cha HIZBULLAH !:boxing: AZUSA STREET
Jamani narudia tena; madrasa ni sheeeeeeeda!!!
Haki sawa kwa misingi ipi? Wapalestina wanataka kuachive goals ambazo wanafahamu wazi wazi kwamba hawawezi kuziachive. Kati ya biblia na Koran ni kipi kilitangulia? Jibu unalo. Sasa biblia inasema yerusalemu ni ya nani? Jibu unalo! Koran inasema chochote kuhusu Jerusalem na umiliki wake. Let's use our brains
Hujui hata unaongea nini.haya mambo ukiweka ushabiki watu wanakushangaa.israel imeingizwa kinyemelea katika nchi zilizoendelea lakini iko rank za chini ikizidiwa na uturuki na vinchi kama spain,ugiriki etc.
uchumi wa uturuki upo interm of trilion US dollar hulinganishi na israel.
hata kwa standard ya maisha israel hawezi fikia nchi kama qatar.
unaposema eti israel haiwekwi kwenye rank za uchumi maana yake ni kuwa upeo wako mdogo
Jerusalem belongs to Israel together with everything in the Holy City. I think it is a mutual time for Arabs who are Palestine to go back where they came from.
Eti hivi kwa nini quran imempa sana nafasi YESU kuliko mtume mohamed.ndugu zangu waislamu naomba mnieleweshe
Because its not. Just like a fictional "palestinians"By the way twende mbele turudi nyuma.....if Jerusalemu is Islamic Holy site/city, how come is not mentioned even once in a quran?
Hii ndo list ya top ten kwa nguvu za kijeshi duniani.
acheni ushabiki mbuzi.
The GFP Top 10:
1. United States
2. Russia
3. China
4. India
5. United Kingdom
6. France
7. Germany
8. Turkey
9. South Korea
10. Japan